Ni Kwa Nini歌词由Ambassadors Of Christ Choir演唱,出自专辑《Yatupasa Kushukuru》,下面是《Ni Kwa Nini》完整版歌词!
Ni Kwa Nini歌词完整版
Ni Kwa Nini? - Ambassadors Of Christ Choir
Ni kwanini umeyaruhusu
Ee Mungu mwenyez
Yatusononeshe moyoni
Kwanini unaruh
Ona haya machozi Tazama tunavyolia
Twajiuliza sana Bwana
Ni kwanini uliyaruhusu
Nikumbukapo usiku huo
Usiku wa huzuni nyingi
Ulipokubali Bwana kwamba
Wenzetu wapumzike
Najiuliza moyon
Kwanini Bwana Mwenyezi
Umeruhusu tusononeshwe kiasi
Ki kueayalini
Ni kwanini umeyaruhusu
Ee Mungu mwenyez
Yatusononeshe moyoni
Kwanini unaruh su
Ona haya machozi Tazama tunavyolia
Twajiuliza sana Bwana
Ni kwanini lulayani usu
Mipuko ni ghafla
Tulipovamiwa na mauti
Bwana ulimruhusu Gautane
Aiage dunia
Ndugu Amosi Mansi kijana mnyenyekevu
Twawakumbuka wote hatutawasahau
Wane
Ni kwanini umeyaruhusu
Ee Mungu mwenyez
Yatusononeshe moyoni
Kwanini unaruh su
Ona haya machozi Tazama tunavyolia
Twajiuliza sana Bwana
Ni kwanini uliyaruhusu
Twahuzunika Bwana tena nawe wajua
Lakini kwa hayo yote
Chukuliwa kwa matendo mema
Uliyoyakubali wale watumishi wako
Wayatende katika siku hizo
Chache za maisha
Twayakumbuka matendo yenu
Mema yasiyoelezeka
Mliotena duniani
Twawakumbuka tulivyoishi vizuri
Kwa muda mlikuwa nasi hatutawasahau
Twayakumbuka matendo yenu
Mema yasiyoelezeka
Mliotena duniani
Twawakumbuka tulivyoishi vizuri
Kwa muda mlikuwa nasi hatutawasahau