MADAM PRESIDENT (Live)歌词由Frida Amani演唱,出自专辑《This Is Me (Live)》,下面是《MADAM PRESIDENT (Live)》完整版歌词!
MADAM PRESIDENT (Live)歌词完整版
CHORUS:
Kwenye Rap game mi Madam President
Head of the Government
Naongea na Residents
Aaay.. i feel like Mama Samia..
YEA.. I feel like Mama Samia..
VERSE 1
Mamen nyinyi nsikilizeni kwa makini
Mbona hata sisi tunaweza fanya zaidi ya nyinyi.
Na leo nitawaonesha power of the woman
Maana huko kitaani naziskia Rumours
(Mara Oooh) Eti Frida cant do it ye ni dem..
(Mara Oooh) Asingekuwa dem asingepata fame
Naomba niongee kidogo about this matter.
Aliyesimama hapa ni namba one Rapa.
Na maumbile yake Mwanamke Bidada.
Head of the cabinet Fifi Don Dada
Top in charge of the Rap Tanzania
And still na inspire generation inayofuatia
Wakati naanza rap walidhani nina tania
Now am on top i feel like Mama Samia
(EEH) i feel like Mama Samia
(EEH)i feel like Mama Samia
CHORUS
Kwenye Rap game mi Madam President
Head of the government
Naongea na Residents
EEEH i feel like Mama Samia..
EEH I feel like Mama Samia..
Verse 2
Kila mwanamke ni leader kama Samia Suluhu (Suluhu)
So ukiniona napita Amiri Jeshi ni Salute (salute)
Unaweza kuwa kama mi ka uki Do you.
You can even be a President, Samia Suluhu
Wakiuliza nani Top kwenye Rap game mi
Serikali kuu ya mizuka inanitii
Who runs the world? Girls, we!
Timua timua rapa wezi..
Nachill kwenye white House nikiandika bars
Jamhuri ya Hiphop i do it for you fans
Evething presidential, read my credintial
Wapinzani wanataka nini, them mental.
Sifanyi show nafanya ziara
I'll cut you off acha Masihara.
Wanaumee (ehhh!)
Mko wapi mbona siwaoni
Kama nyie mnaniona Madam President call me.
CHORUS
Kwenye Rap game mi Madam President
Head of the government
Naongea na Residents
EEH i feel like Mama Samia.
EEH. I feel like Mama Samia.