Tufanye??歌词由Polaris演唱,出自专辑《Tufanye??》,下面是《Tufanye??》完整版歌词!
Tufanye??歌词完整版
Tufanye?
Ni kama naelewa lakini sielewi
Dunia nzima uliona mi ndio mshenzi
Na hii tabia sijaiona na watu wengi
Na haya huna ukisema ni mapenzi
Chorus
Na vile umejam sa tufanye
Na mi nimejam sa tufanye
Na vile umejam sa tufanye
Na mi nimejam sa tufanye
Verse 2
Itabidi sisi tujipange
Sina uwezo bila kiburi
Na wallahi tena nijipate
Ni mi unaletea ujeuri?
Hunijui, na siamini, ati kumbe si wewe ni mimi
Hunijui, na siamini, ati kumbe si wewe ni mimi
Chorus
Na vile umejam sa tufanye
Na mi nimejam sa tufanye
Na vile umejam sa tufanye
Na mi nimejam sa tufanye
Bridge
Sa tufanye, sa tufanye, sa tufanye, sa tufanye x2
Chorus
Na vile umejam sa tufanye
Na mi nimejam sa tufanye
Na vile umejam sa tufanye
Na mi nimejam sa tufanye