Kilometa Ziro歌词由Mwasiti演唱,出自专辑《The Black Butterfly》,下面是《Kilometa Ziro》完整版歌词!
Kilometa Ziro歌词完整版
maji kupwa maji kujaa haieleweki
Kila nikihesabu kilometer jibu sipati
nilijitahidi kuelewa somo
(Niendane nawe)
nikavaa ukimya usiniponze mdomo
(nikalishahadia penzi)
labda mimi mimi ooh
niliposhikwa sikushikika
Labda mimi mimi ooh
nilipopendwa nikachekechwa
moyo…
aah aah aah moyo we
umeufanya chochoro
aah aah aah moyo we
kilometa zero
aah aah moyo we
Umefanya chochoro
kilometa zero
nilijipa muda kufikiria
Uenda mambo yatakaa sawa
Kumbe mapenzi taswira
Kioo picha inarudi kwangu
(najiuliza)
nimeumbiwa mikosi labda
Kutwa jua la utosi
labda mimi mimi ooh
niliposhikwa sikushikika
Labda mimi mimi ooh
nilipopendwa nikachekechwa