Uswahilini歌词由Fredrick Mulla&Umoja Sounds演唱,出自专辑《Uswahilini》,下面是《Uswahilini》完整版歌词!
Uswahilini歌词完整版
Verse 1
Kwetu nakotoka ni mlo mmoja, ndio maana napambana mi ni soldier
Nang'ang'ana kwenye mishe nitadoda, napigana huku baraka nazingoja
Nina ndugu na familia inanitazama sina la kufanya
Ila naamini kuna siku nitanona
Mapene shazi kuna siku yatashona
Mi sichoki pambana day and night
Daily nina pambana day and night
Chorus
Kwetu uswahili natokea ghetto mimi
Kwetu uswahilini natokea ghetto
Verse 2
Anaheshimiwa mwenye kitu tusiokuanacho ni takataka
Ukipata mboka niambie pesa ni sabuni nitatakata
Baba mwenye mji usinitoe kejani pesa yako nitakulipa
Leo sina kitu lakini nitapata hiyo ganji nina hakika
Mi sichoki pambana day and night
Daily nina pambana day and night
chorus
kwetu uswahili natokea ghetto mimi
kwetu uswahilini natokea ghetto