Lala歌词由Chris Bahizi演唱,出自专辑《Asubuhi》,下面是《Lala》完整版歌词!
Lala歌词完整版
Lala Ah Ah Ah...
Lala; giza ni nyingi hapa kusini
Mashariki, juwa ka ibwa na viongozi
Lala; giza ni nyingi hapa kusini
Mashariki, juwa ka ibwa na viongozi
Juwa ka ibwa na viongozi
Nani Analiya Mapendo
Apate Moyo
Nani Analiya Uhuru
Apewe kinywa Safi
Nani Analiya Upendo
Apate Moyo
Nani Analiya Uhuru
Apewe kinywa Safi
Safi Ih ih
Ka Theluji ih ih
Huko ukweli ka uwawa
Kwa Kinywa yake safi
Safi Ih ih
Ka Theluji ih ih
Huko ukweli ka uwawa
Kwa Kinywa yake safi
Lala Ah Ah Ah
Lala, giza ni nyingi hapa kusini
Mashariki, juwa ka ibwa na viongozi
Giza nyingi hapa Kusini
Mipepeo na njaa
Jirani myoyo imejaa chuki
Jipe moyo Kusini
Uh Jihadhari, ndugu uh uh...
Kesho ni siku
Kesho ni siku
Kesho ni siku
Lala Lala Lala
Lala Lala Lala