Fumbo Puzzles (Speed Version)歌词由Lavino Brown演唱,出自专辑《Fumbo Puzzles (Speed Version)》,下面是《Fumbo Puzzles (Speed Version)》完整版歌词!
Fumbo Puzzles (Speed Version)歌词完整版
Siku ya kwanza kumuona
Kama jua lachomoza
Alikuja kama twiga na mwendo wa kunoga
Alicheka kwa furaha na surayake nyota
Na ngozi yake nichimbuko la Africa mama
Na nywele zake akichanua ni tausi jama
Na figa yake ya kibantu waka waka
Uzuri wake ehee wa Burundi Tanzania Rwanda
Tukanza urafiki aliunganisha Neemaa
Siku anza kwa mikiki nilitaka mjua vyema
Akanipa na nafasi niwe zaidi ya rafiki
Nikajipa na wakati bado mbio za vijiti
Kupendwa ni fumbo
Sikujua niendako
Ni maradhi ya maficho
Kina niumbua kifoo
Kupendwa ni fumbo
Sikujua niendako
Ni maradhi ya maficho
Kina niumbua kifoo
Ukanitoka urafiki kulitafuta penzi
Nili zani nirahisi kumbe kuna mmjenzi
Ilibidi niwe mwizi kuipata rizikiii
Nili muomba sana mungu anibariki hili
Na ngozi yake nichimbuko la Africa mama
Na nywele zake akichanua ni tausi jama
Na figa yake ya kibantu waka waka
Uzuri wake ehee wa Burundi Tanzania Rwanda
Nikashindwa kum-catch
Upendo ukawa complicate
Moyo wangu uka-dead hisia nazo zika fade
Nika delete number text
huwenda nita mm-forget
Kupendwa ni fumbo
Sikujua niendako
Ni maradhi ya maficho
Kina niumbua kifoo
Kupendwa ni fumbo
Sikujua niendako
Ni maradhi ya maficho
Kina niumbua kifoo
Kupendwa ni fumbo
Sikujua niendako
Ni maradhi ya maficho
Kina niumbua kifoo
Kupendwa ni fumbo
Sikujua niendako
Ni maradhi ya maficho
Kina niumbua kifoo