Yatapita歌词由Diamond Platnumz演唱,出自专辑《Yatapita》,下面是《Yatapita》完整版歌词!
Yatapita歌词完整版
Yatapita - Diamond Platnumz
Lyrics by:Diamond Platnumz
Composed by:Diamond Platnumz
Yatapita yana mwisho
Ipo siku tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau
Kaza moyo nivumilie
Amini tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau Wote
Na ntakununulia Vyote
Mawigi na simu Vyote
Ntakuzawadia Vyote
Pochi zenye thamani Vyote
Nawe uende waringishia Vyote
Utembee kwa uskani Vyote
Na vioo ukiwafungia Vyote
Aloiumba leo ni mungu na ndio ataiumba kesho
Amini fungu letu laja haliko mbali
Alisema mtazaa kwa uchungu tutatafuta kwa mateso
Baby mitihani kawaida usijali mnh
Kidogo nnachokuletea usinune pokea
Nipate moyo nifariji
Na juhudi naziongezea usichoke niombea
Molah atubariki zaidi
Mungu kakupa sura kakupa shepu
Nyuma chura mambo yetu
Mwana wa sanura mwenzako mimi I love you
Umeniteka medula niko fyetu
Akili haina ndala iko peku
Umenivurura mwenzako mimi I love you
Ooh nivumilie
Yatapita yana mwisho
Ipo siku tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau
Kaza moyo nivumilie
Amini tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau Wote
Na ntakununulia Vyote
Mikufu na simu Vyote
Ntakuzawadia Vyote
Pochi zenye thamani Vyote
Nawe uende waringishia Vyote
Utembee kwa uskani Vyote
Na vioo ukiwafungia Vyote
Ooh Baby
Tazama Nyota na Mbalamwezi zatutazama
Liliwaka jua zikafanya subira mnh nhh
Na nnapokosa niambie mupenzi sio kuzozana
Nyumba haijengwi kwa vita hasira
Kwenye macho yako nikiyatazama
Naiona huruma yako mama
Changamoto maana kuna muda unakata tamaa
Nanoa kisu hatuli nyama
Na kodi lundo zatuandama
Riziki zama kwa zama
Ya kwetu kesho ya kwao ni jana
Kidogo nnachokuletea usinune pokea
Nipate moyo nifariji mnh
Na juhudi naziongezea usichoke niombea
Molah atubariki zaidi
Yatapita kipenzi changu
Yatapita yana mwisho
Ipo siku tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau
Kaza moyo
Kaza moyo nivumilie nivumilie baby
Amini tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau Wote
Na ntakununulia Vyote
Mawigi na simu Vyote
Ntakuzawadia Vyote
Pochi zenye thamani Vyote
Na wewe uende waringishia Vyote
Utembee kwa uskani Vyote
Na vioo ukiwafungia Vyote
Mungu kakupa sura kakupa shepu
Nyuma chura mambo yetu
Mwana wa sanura
Mwenzako mimi I love you