My Eyes and Your Face (Stripped Down)歌词由Umoja Sounds&Fredrick Mulla&Mbithi&Mutoriah演唱,出自专辑《Umoja Sounds Presents Flava (Stripped Down)》,下面是《My Eyes and Your Face (Stripped Down)》完整版歌词!
My Eyes and Your Face (Stripped Down)歌词完整版
Mulla
Kuna kale ka feeling tukiwa wawili me and you
Mahaba nifunike na upepo wa pwani
Tukikwaruzana ngarawa yetu isizame
Tupige makasia yatueleke pwani
Katu katu hasirani vyawenginewe tusitamani
Yetu yaishie ndani tusiwape faida
Katu katu hasirani vyawenginewe tusitamani
Yetu yaishie ndani tusiwape faida
Mbithi
My heart is your place
Your heart is my space
Tukipata watoto one day they will have my eyes and your face
Mutoriah
Chasing sunsets Limuru
Driving in my kadudu
Vibe ni kama Malibu
Who’d have thought you’d be my boo
Ooh how I’m changing
No more fast food nakula healthy
Juu unapika na unapika vi-deadly
Aki for you I wanna be better daily
Ooh how I’m changing
Mtu alisema hatawai fanya wedding
Ona sasa nimekusanya savings
Next week natuma depo ya keki
I love it when you take control
You truly understand my soul
My mind
My heart is yours
Your heart is my space
Mbithi
My heart is your place
Your heart is my space
Tukipata watoto one day they will have my eyes and your face
Mbithi
Lately giving love some time
I'm tryna make you my ride or die
Nataka kua the finest man
unipe nikupe all the time More
More
Nail lisa kuna vitu me siwezi kuficha
Hisia zangu utaziona ata kwa picha
Your Mister my mrs In my future boo
Njoo kuja
Nikunong'onezee,
Utaskia mengi wanabonga wazee
Talking you father make him give you away
So I can give you my name,and we can sail away
With my lady.
Mbithi
My heart is your place
Your heart is my space
Tukipata watoto one day they will have my eyes and your face