Wake up from your sleep歌词由Colossal Music&Umoja Sounds&Fredrick Mulla演唱,出自专辑《Colossal Music presents Umoja Sounds + Fredrick Mulla - Unexpected Glitch (Explicit)》,下面是《Wake up from your sleep》完整版歌词!
Wake up from your sleep歌词完整版
Verse1
Niko poa niko good
Tafadhari tusiharibiane mood
Nimekuja ku party tu afu ni move
Be the change you wanna see
Ndomana niko good
Kaza kila nati ya upendo ikilegea
Tumeagizwa upendo kwa Bible nikirejea
Let's preach about love, mengine kemea
Maana sikuhizi mapendo yamekua ni very rare
Na hii ifike everywhere
Watu wangu chimbo mpaka mbele Delaware where? Everywhere
Kila Kona, jaza love kula pini
Kula ngoma, leta homa uuh uuh
Usiivunje chain ya upendo Dada and brada
Wote wa moja, Hata ka hatushei the same blood
Brother usiache Prada itutenganishe one Another
Kusomeana Radar ndio mambo we don't buy Babu
Nakuzimana sauti kama Strobe lights
All we know is that
Bado sijafa na evolve the winner is back
Back on track, back to back
Wote sawa white or black
Kupitia Umoja sounds Waite back
Verse2
Unleash the inner side
Siogopi the size of the dog ni inner fight
Ngumi nzito vile inafaa
Be strong, be wise
Be eyes, toa uwongo Zika demise
Mana hiyo kitu ndio ita ku define
We ni nani, who are you tell us
Tuambie we wanna know
Maisha ni safari, we on the road
Barabarani don't drink and drive
Kuwa makini ka unataka thrive
I choose to be alive and embrace that
Maisha yangu nayaongoza Mr. presidenta
Crazy mentor of my mental
Akili yangu ni Monumental
Acha tuishi tu
Ile kitu ninayo ni kubwa Kwa macho ya kawaida ku see it through
That's love in me that's love in us
Kila siku God is watching us yeah