Mwasemaje歌词由Fredrick Mulla&Umoja Sounds演唱,出自专辑《Master Manondo》,下面是《Mwasemaje》完整版歌词!
Mwasemaje歌词完整版
Intro
Mmmh! Yeah yeah yeah yeah yeah yeah yeah anhaa!
Bounce aahuh!
Yeah yeah yeah! Yeah Yoh!
Verse 1
Okay!
Wanasema niko mbele zaidi ya game
Money talks na siongei wanaongea wao tu
Pesa sabuni nabuni sanaa faida iwe yetu
Maana sabuni zao wanaogea wao tu
Wakijifanya hawana muda na hii
Mi niko zangu mbele ya muda Nai
Siku wakipata hata muda na hii
Watakua nyuma ya time
(Time time time)
Yeah!
Wanangu toka day ones nawajua
Mnaokomenti IG kabla page haijakua
Mpaka leo mko nami tukipiga hizi hatua
Nawapenda ka mlikua hamjajua
Nami sisubiri
(Hivyo am catching waves)
Yeah, nawapa mavibe mavibe
(I'm going all the way to the top)
To the top!
Chorus
Mwasemaje?
Eeeeeh!
Jamaa jamaa
Mwasemaje?
Eeeeeh!
Jamaa jamaa
Mwasemaje?
Eeeeeh!
Jamaa jamaa
Mwasemaje?
Eeeeeh! Yeah
Verse 2
Yo!
Bless you let God bless us
Baraka tele mi naleta
Mungu ni mwema (kila wakati!)
Na kila wakati (Mungu ni mwema!)
Utofauti umekua nadra
Ndo’ maana kila kitu kile nadrop kinakua noma
Kila nikiendeleya mchezo nauchezeya
The true player
Put your hands in the air
(Heeehh!)
Wanangu toka day ones nawajua
Mnaokomenti IG kabla ya page haijakua
Mpaka leo mko nami tukipiga hizi hatua
Nawapenda ka mlikua hamjajua
Nami sisubiri
(Hivyo I'm catching waves)
Nawapa mavibe mavibe
(I'm going all the way to the top)
Chorus
Mwasemaje?
Eeeeeh!
Jamaa jamaa
Mwasemaje?
Eeeeeh!
Jamaa jamaa
Mwasemaje?
Eeeeeh!
Jamaa jamaa
Mwasemaje?
Eeeeeh! Yeah
Coda
You are listening to the amazing sounds
All the way from Morogoro, Master Manondo with Umoja Sounds
Bringing it straight to your neighborhood
Play this at loud volume probably in a residential area aah aah!
Keep it going keep it going
We keep it going keep it
Chorus
Mwasemaje?
Eeeeeh!
Jamaa jamaa
Mwasemaje?
Eeeeeh!
Jamaa jamaa
Mwasemaje?
Eeeeeh!
Jamaa jamaa
Mwasemaje?
Eeeeeh! Yeah