Nisimvumilie歌词由Siandaboy演唱,出自专辑《Nisimvumilie》,下面是《Nisimvumilie》完整版歌词!
Nisimvumilie歌词完整版
Siandaboy
Mmm mmh
Mmmm
Navonipenda mimi
Navonipenda mimi
Navompenda mimi
Navompenda mimi
Anavonipenda mimi
Ananipenda mimi
Navompenda mimi
Navompenda mimi
Basi keti chini nikupe hadithi
Usimwone leo
Kwani tumetoka mbali
Shukrani molamolaaa
Majaliwaa
Mmm naye kweli kalifanikisha hili
Kanifanya mzani hivi leo nimetuli
Maji ya mtungi
Yarayara
Nilikua sina godoro
Akanivumilia
Tunaamkia viporo
Akanivumilia
Sasa mimi ni nanii
Nisimvumilie
Ooh mimi ni nani
Nisimvumilie
Wakati kanitoa
Kwenye shida
Nisimvumilie
Oho mimi ndo nanii
Nisimvumilie
Yeye ndo hunipa company
Hodari wa mapenzi
Penzi tu niyeye
Ndo maana
Tunapendananga tu nayeye
Kila maradhi
Ataugua mwenzenu
Nitaugua
Mmmm kwenye safari
Ya milima ya maisha me
Jinsi fulani nimezama
Kwa penzi Lake mie
Naahidi kwake me
Nitatulia
Nilikua sina godoro
Akanivumilia
Tuliamkia viporo
Akanivumilia
Sasa mimi ndo nanii
Nisimvumilie
Ohoo mimi ndo nani
Nisimvumilie
Wakati kanitoa
Kwenye shida
Nisimvumilie
Ohoo mimi ndo nanii
Nisimvumilie
Wakati yeye
Ndo hunipa company
Nisimvumilie
Nisimvumilie
Alpha Records
Kinara on the mix
Siandaboy