Wema Wako歌词由Prosper Kenneth演唱,出自专辑《Nakupenda Wewe》,下面是《Wema Wako》完整版歌词!
Wema Wako歌词完整版
Wewe ni mwenye fadhili
Nazo rehema tele
Jina lako Adonai
Niko ambae niko
Wasamehe hasirani
Hivyo ndivyo ulivyo
Je ni shida gani au sababu
Itayonitenga na pendo lako
Je ni dhiki gani au mateso
Yatayonitenga na pendo lako
Wema wako unadumu
Wema wako, unapita vizazi
Wema wako, unadumu milele
Wema wako, watangaza fadhili
Wema wako, Yesu ninashukuru
Wema wako, unapita vizazi
Wema wako, unadumu milele
Wema wako, watangaza fadhili
Wema wako, Yesu ninashukuru
Aah hee
Aah hee
Aaah
Aah hee
Aah hee
Aaah
Jeshi lijapojipanga
Kupigana na mimi
Wafungua macho yangu
Kuona ulivyokwangu
Baba wema wako
Umekuwako toka zamani
Wawanyeshea watakatifu
Na wenye dhambi
Wema wako Bwana haufananishwi
Haulinganishwi ni wa pekee
Wema wako Bwana unatakabali
Unanihifadhi ndivyo ulivyo
Wema wako Bwana haufananishwi
Haulinganishwi ni wa pekee
Wema wako Bwana unatakabali
Unanihifadhi ndivyo ulivyo Bwana
Wema wako, unapita vizazi
Wema wako, unadumu milele
Wema wako, watangaza fadhili
Wema wako, Yesu ninashukuru
Wema wako, unapita vizazi
Wema wako, unadumu milele
Wema wako, watangaza fadhili
Wema wako, Yesu ninashukuru