Nilewe (Explicit)歌词由Drimo Papi演唱,出自专辑《Bongo Pop Vol.1 (Explicit)》,下面是《Nilewe (Explicit)》完整版歌词!
Nilewe (Explicit)歌词完整版
Najua unaeza hisi nimepigwa limbata
AMA NI nyota yangu imefifia
Sio siri me sifichi nmechangwa kama karata
Naumia maana yeye amekusudia
Moyo ameuacha taabani
Sielewi nabaki NA nani
Nmebaki kumbukia ya zamani
Maana
Kiza kikali yaani totoro totoro
Kula kunywa kwenye godoro godoro
Labda ntakuwa sawa tomorrow tomorrow
Hali irudi shwari mororo mororo
Ila for now
Si bora nilewee
Ohh yeah
Leta pombe nilewe
Nilewee
You know
Nikikueleza utakataa
Vyote alofanya huyu kadada
Dakika Ina sekunde sitini
Nimeshabaini
Nishamsamehe Mara saba sabinii
Oya jamani nalewa Leo
Njoo nibebeni nshalewa miioo
Si punde naangusha kilioo
Yashapotea matarajio
Moyo ameuacha taabani
Sielewi nabaki NA nani
Nmebaki kumbukia ya zamani
Maana
Kiza kikali yaani totoro totoro
Kula kunywa kwenye godoro godoro
Labda ntakuwa sawa tomorrow tomorrow
Hali irudi shwari mororo mororo
Ila for now
Si bora nilewee
Ohh yeah
Leta pombe nilewe
Nilewee