Tanzania歌词由Ibraah演唱,出自专辑《Bado》,下面是《Tanzania》完整版歌词!
Tanzania歌词完整版
Aah Chinga
Tanzania yeeeh Tanzania leeeeh Tanzania leeeh Tanzania yeeeh
Alianza Nyerere baba akaijenga taifa leetu
akafuata Mwinyi,Mkapa..wakatupenda viongozi...weetu
Naye baba Kikwete hakubweteka bwete alidumishaaa sana amanii
Kamleta John Pombe magufuli ....Mungu akamchukua angali twamtamani
Sasa akatupa mamaa mamaa naye tunaimani na yeye
Uongozi wake salama salaaaama
Na tunampenda yeeeye........
Tanzania nchi yangu Tanzania naipenda Tanzania Tanzania .......ninayo furaha ya kuzaliwa Tanzania
Tanzania nchi yangu Tanzania naipenda Tanzania
Tanzania ........ninayo furaha ya kuzaliwa Tanzania
(Tunaipenda Tanzania) aaaaaaaah
nchi yenye amani yangu Tanzania naiyona
aaaaaaaaaah
Tanzania oooh Tanzania ooooh maama
Tunamshukuru mungu .....bara na visiwani tuna amani
Na leo twasherekea Uhuru wa miaka sitini ya Tanzania
ati raaaaha
nchi yenye amaaani haina malumbano(Tanzaniaaa)
Miaka ya tisini hadi leo twadumisha muungano wa Tanzania
Tanzania nchi yaaangu......Tanzania naipenda
Tanzania Tanzania nakupenda Tanzania
Najivunia kuwa mtanzania
aaaaaaaaaaaaaaaaaah Tanzania eeeeeeh
Tanzania Tanzania