Niponye歌词由Christina Shusho演唱,出自专辑《Hararat》,下面是《Niponye》完整版歌词!
Niponye歌词完整版
Ohoo ohoo ohoo ohoo
Ohoo ohoo ohoo ohoo
Ebwana usikie kuomba kwangu
Kilio changu kikufikie
Usifiche uso wako siku ya shida yangu
Ebwana usikie kuomba kwangu
Mungu eeee eeee eeee eee
Machozi yangu yamekua chakula changu cha kila siku
Nishike mkono baba naangamia
Yeeeesu Yeeeesu nishike mkono baba nishike mkono baba
Koo yangu inauzuni nyinyi ……………. Niponye niponye niponye
…………. Ni wewe pekee …………………… ni wewe Yesu
Usiniache baba niangamiee ohoo ohoo baba niokoe eeh
Kuna majiraa ……………… eeh
Ebwana usikie kuomba kwangu
Kilio changu kikufikie
Usifiche uso wako siku ya shida yangu
Ebwana usikie kuomba kwangu
Msaada wangu wa karibu ni wee msaada wangu wa karibu ni wee
Yesuu usikae mbali Yesuu usikae mbali
Nikikuita usikie sauti nikikuita uitike
Ooh …. Ooh …..
Nimekua kama ndege mkiwa ……. Peke yangu juu ya nyumba
Moyo wangu umepigwa kama majani na kukauka
Oooh baba wee nisikiee baba weeee
Ebwana usikie kuomba kwangu
Kilio changu kikufikie
Usifiche uso wako siku ya shida yangu
Ebwana usikie kuomba kwangu