MoroBuzz Season 3 Episode 3歌词由Fredrick Mulla演唱,出自专辑《MoroBuzz Season 3 Episode 3》,下面是《MoroBuzz Season 3 Episode 3》完整版歌词!
MoroBuzz Season 3 Episode 3歌词完整版
Verse 1
Wanataka kunijaribu
Mood wanataka kuiharibu
A鈥檉u wanategemea majibu
Sina time, niko zangu Malibu
Mwaka huu yatakufa majitu
As soon as nikimaliza manicure
Where the money at? Give me cue
Hii for every Mc Jimmy Crooks
Nishajua kwamba huwa hampendi truth
Sultan Tamba hamuwezi nishusha
Nikisema mi ni mkali they be getting mad
Hii ndio big eagle hamuezi ishusha
Asante Baba round hii niko home yeah
Karibu kwenye Mulla Kingdom
Msilete show free siwezi perform
Weka mipunga mikwanja mezani hapo we on yeah
Chorus
Hamnitishi hamnibabaishi hamnitishi
Hamnitishi hamnibabaishi hamnitishi
Hamnitishi hamnibabaishi hamnitishi
Hamnitishi hamnibabaishi hamnitishi
Verse 2
Nachofanya each and every now
Tofauti ndio sababu sifanani nao
Kila siku nipo ninajinoa niwapige bao
Nimechoshwa na kauli zao
Unajibu swali na hujaulizwa
Ukiulizwa
Utajibu nini sasa?
Wengi mnaujua ukweli ila mnashindwa
Ndio maana ukiwa mkweli utaonekana unavimba
Na since hakuna anayelipa kodi yangu
Ni sawa tu mi naendeleza mizinga
Asante Baba round hii niko home yeah
Karibu kwenye Mulla Kingdom
Msilete show free siwezi perform
Weka mipunga mikwanja mezani hapo we on yeah
Hamnitishi hamnibabaishi hamnitishi
Hamnitishi hamnibabaishi hamnitishi
Hamnitishi hamnibabaishi hamnitishi
Hamnitishi hamnibabaishi hamnitishi