Password歌词由Christina Shusho演唱,出自专辑《Hararat》,下面是《Password》完整版歌词!
Password歌词完整版
Palikuwa na mtu mmoja wa jamii ya wadani jina lake liitwa Manoa
Mtu huyo alikuwa taasa hakuzaa watoto, malaika bwana akamwambia utazaa
Passwordee chunga sana passwordee hee passwordee ozaa
Passwordee usitoe passwordee hee passwordee eee we mnathiri wa mungu
Usinywe divai wala kileo wala chochote kilicho najisi mamaaa
Utachukua mimba utazaa mwanamume wembe usipite kichwani mwake Samsoni
Passwordee chunga sana passwordee hee passwordee ozaa
Passwordee usitoe passwordee hee passwordee eee we mnathiri wa mungu
Katika uwe mwenye kula ikatoka chakula katika huyo mwenye nguvu ukatoka utamu
Kitu gani kilichokitamu kuliko asali nigani kilicho na nguvu kuliko simba
Passwordee chunga sana passwordee hee passwordee ozaa
Passwordee usitoe passwordee hee passwordee eee we mnathiri wa mungu
Wakinifunga kamba mbichi eee ambazo hazijakauka eee hapo ndipo ntakuwa dhaifu
Eee aah wapi
Wakinifunga kamba mpya eee ambazo hazijatumika eee hapo ndipo ntakuwa dhaifu
Eee aah wapi
Wembe haukupita juu ya kichwa changu tangu tumboni mwa mama angu
nikinyolewa ntakuwa dhaifu mi mnathiri wa mungu
Wembe haukupita juu ya kichwa changu tangu tumboni mwa mama angu
Nikinyolewa ntakuwa dhaifu mi mnathiri wa mungu
Passwordee chunga sana passwordee hee passwordee oza