Believer歌词由Phil Kimemia演唱,出自专辑《Believer》,下面是《Believer》完整版歌词!
Believer歌词完整版
Me napenda ku party
Napenda kwenda church
Nataka niwe happy
Sijui nakuhurt
Na preach water ila na drink wine
Kwa meza yoyote Mimi nina dine
Nikikosea Niko sawa
Utanisamehea Niko sawa
Nikikuumiza Niko sawa
Unanipenda hapo sawa
Rehema zako zinanibeba
Ila dhambi nazidi tu kutenda
Rehema zako zinanibeba
Ila dhambi nazidi tu kutenda
Mimi nisiwe kama mshumaa
Chini ya kitanda, niufiche mwangaza ooh no
Staki niwe namsifu bwana
Ndani ki siri siri, nifiche mpaka lini
Kama nikukata, mi nakata
Ma demon zikikam, mi nazi scatter
Nasimama na neno sina haya
I’m a believer yeeeah
Kama nikukata, mi nakata
Ma demon zikikam, mi nazi scatter
Nasimama na neno sina haya
I’m a believer yeeeah
Mimi nisiwe Simba ambaye, Hana meno
Pia nisiwe kisu ambacho, Hakina makali
Baba nisaidie
Kama nikukata, mi nakata
Ma demon zikikam, mi nazi scatter
Nasimama na neno sina haya
I’m a believer yeeeah
Kama nikukata, mi nakata
Ma demon zikikam, mi nazi scatter
Nasimama na neno sina haya
I’m a believer yeeeah
Mimi nisiwe kama mshumaa
Chini ya kitanda, niufiche mwangaza ooh no
Staki niwe namsifu bwana
Ndani ki siri siri, nifiche mpaka lini
I don’t wannabe, I don’t wannabe
I don’t wannabe Luke warm
Please don’t you be luke warm