Sijakata Tamaa !!! (Explicit)歌词由John Ambuli演唱,出自专辑《Golden Tunes !!! Volume 7.0 (Explicit)》,下面是《Sijakata Tamaa !!! (Explicit)》完整版歌词!
Sijakata Tamaa !!! (Explicit)歌词完整版
IJapokua nimekutana na yale ambayo sio ya kawaida
Ijapokua nimekutana na kifo Uso Kwa Uso
Ijapokua wenzangu wote walinihepa
Ijapokua sikuwahi kupata wahisani
Ijapokua ulimwengu ulinitisha kuniua
Ijapokua Malimwengu yalinikwaa
lakini Mimi sikuwahi kukata tamaa hata mara moja
Siko Tayari Kukata tamaa wakati huu na hata siku zijazo
Nitajitahidi kiasi cha uwezo wangu hadi nione kwamba nimetimiza usia wa wazazi wangu
Sinita kosa kushiriki Malimwengu hadi Nitimize Waliyo niambia wazazi wangu
Laa Sinita toka jukwani