笨鸟先飞
我们一直在努力
2025-01-10 13:57 | 星期五

Cheki Nikiomoka Freestyle (Explicit)歌词-Nash Qash

Cheki Nikiomoka Freestyle (Explicit)歌词由Nash Qash演唱,出自专辑《Cheki Nikiomoka Freestyle (Explicit)》,下面是《Cheki Nikiomoka Freestyle (Explicit)》完整版歌词!

Cheki Nikiomoka Freestyle (Explicit)歌词

Cheki Nikiomoka Freestyle (Explicit)歌词完整版

Btw ni tbt

Past life yaani rip

Sai jo mi ni Vip

Suti tai kama cid

Baadae nipate CBD

Ganji kuflow tu kcb

Madem hunniita MVP

CD mi Staki HIV

P2 achia Madem mwitu

Madem wangu out of ur league

Nasaka Dem kwa magazine

Na sijawish ka Aladin

Na ka ni tei miukinywa gin

Na ka unijui uliza jina

Mdogo mdogo we tu Skiza

vile flow mu nageuza

Na ni nimetii Wasee watatu nitu me, myself and I

Na Madem ni watatu my ex , current na future wife

Bonga matope lakini chini Nikona gumboot

Kama ni poko statishi walai Heri aremis

Mrembo ujinga sipendi mi ntakwacha bila warning

Nikikwacha sirudi kama miguna miguna

Kaa rada watu ni WA harsh Sana kama Twitter

Skuiza wakona tabia kama zile za mike sonko

Siri zako zote watasambaza kama credo

Niccur unaringa na Dem Yako ni Mali ya imma

No nijirudie kama miguna miguna

Mi ndo general apa roho safi piga saluti

Ka ameweza sipigi binja napiga firimbi

Miugonga mhhh uliza mwende, shiro na akinyi

Vitu mi natema ata msomali hawezi Fika

Vile Niko fly we jua nishapata visa

Ngoma ni motto ni ka ni ya OG

Yaani fire Nikama dj lighter

Teke teke Nikama fiber

Lea beat nikurudishie heat

Mistari ni mingi itabidi nigawie ma rappers

Nimeposses industry wika holy ghost

Nahshcahsh ndio jina ah, flash piga picha nah

Trend Hadi Twitter

Cheki ju nikipita

Ju Nisha pata visa Sai ni birds eye view

Cheki tu kwa dirisha sunset ndo view

Kenyatta alifanya tupate uhuru

Uhuru amefanya tupate madeni

Michuki alisema tufunge mishipi

Lakini nyi bado Mwasambaza chuki

Mifuko imejaaaa na si mashilingi

Madem ni wareo lakini mitaro

MFriend zone ata ka ameweza

Chill nimade Ii beat

Eny meeny miny Moe

Najicheki Kwa Kwa kio ju

Juu chini swaga doir

Circle yangu ma CEO

Nina njaa yakuomoka Nikama nikona minyo

未经允许不得转载 » 本文链接:http://www.benxiaoben.com/ef2cbVVA9BQpVVAcD.html

相关推荐