Sema歌词由Morry Wa Kitaa演唱,出自专辑《Sema》,下面是《Sema》完整版歌词!
Sema歌词完整版
Vers 1
Dhamira yangu tu nikupende
Ila kwanini moyo unamatobo
Asa kwanini nisikonde
Nikose utamu mi nile makombo
Si kutaka we uwende lakin uliniona sio chochote sina ukali wa wembee
Ningedondoka wewe ndo uniokote
(Breech )
Nilikupa moyo nikakupa na roho
Hata jiba la roho nakufa nalo
(Choras )
Kama wewe na mimi ndo basi tena sema *4
Vesi 2 b2k
Hapa naona ndo yale ya kupendwa
Nisipopendwa yaani nabiga mishale inarudi na sio kwendaa
Hafu anajizima data kwamba yupo
Na mimi hana huruma mapenzi ukipata kwanini una sahau ya nyuma
(Breach )
Nilikupa moyo nikakupa
Na roho ooh
Hata jiba la roho nakufanalo
Choras
Kama ww na mimi ndo basi tena semaaaaa kama wew na mimi ndo basi tena semaaa kamawewe na mimi ndo basi tena semaaa kama ww na mimi ndo basi tena sema