笨鸟先飞
我们一直在努力
2025-01-24 14:14 | 星期五

Uhigh (Explicit)歌词-Ni Tevo&Dot Trapper&Sketch The Artist

Uhigh (Explicit)歌词由Ni Tevo&Dot Trapper&Sketch The Artist演唱,出自专辑《Pieces Of Peace (Explicit)》,下面是《Uhigh (Explicit)》完整版歌词!

Uhigh (Explicit)歌词

Uhigh (Explicit)歌词完整版

Utachizi overthinking nini mbona life ni shitty

Utableki overdrinking kijichocha life ni fiti

Utadedi uko ndani asha mali feel uhigh

Utadedi uko ndani izi mali zikidie

Utachizi overthinking nini mbona life ni shitty

Utableki overdrinking kijichocha life ni fiti

Utadedi uko ndani asha mali feel uhigh

Utadedi uko ndani izi mali zikidie

Life huwa tamu ka si game za kucheza kina Brenda utachizi buda boss usitry

Ati true to the game unataka kucheza role gani ju GOAT kwa hii story ni moja

Ma niggaz hufake kwa ya circle kuchocha sherehe but none atafika kwa noma

We sota ndo ujue riba gani hao mabro who met you hupiganga about you

Bro utachizi

Ndo maana nakeep social distance socialising balaa

Mi ganji ndo aim

Ndo maana utapata nachill na kina Tevo stu

Nataka tu peace of mind settle down nina kapeng kanaitwa amani

Friendship ya gees wako real wanachapa grind ukipata wakutoke ni noma

So mbona niketi nichizi nikistress about watu hawajali anything about me

Mbona nijichoche na life siwezi manage kubamba mabeshte wenye hata hawacare

Kwa mi ndo nishinde nimemake effort ndo hii relationship yetu isurvive

Mi ndo wakupigiwa simu ukipatwa na noma but time uko fiti haunijui

Heh-heh

Huskii life iko order nikipata machingri kwa hoteli naorder

Order

Bado sina ka ndai but form ikijipa niko nyuma ya boda

Boda

Ati nichizi kwa nini ju mali imededi sini sare mali

Dot hukuwanga tu trapper so we bonga ... sijali

Utachizi overthinking nini mbona life ni shitty

Utableki overdrinking kijichocha life ni fiti

Utadedi uko ndani asha mali feel uhigh

Utadedi uko ndani izi mali zikidie

Utachizi overthinking nini mbona life ni shitty

Utableki overdrinking kijichocha life ni fiti

Utadedi uko ndani asha mali feel uhigh

Utadedi uko ndani izi mali zikidie

Ati utableki hiyo ndo quote and quote kumedi wacha tuseme tu ukweli

Ukweli

Free advice sitaki madeni

hata kama ni gin

Ama kama ni henny

Hata kama ni riz

Hata kama ni fegi

Utoe mathao utoe mapenny

North or South K is constant

It's a generous offer no but thank you very important

Summer, Spring, Winter or Autumn

Steady vibe I keep my focus

Focus

Isipokuwa tu leo

Mali imeletwa na Kevo

Halafu ikawashwa na Denno

Halafu tena ikazimwa na Tevo

Coz

Don't smoke in here usijifanye huskii

Don't block your ears usianze kutrip

Sasa unataka kulia basi enda hapo nje ndo unaeza skizia

Ah

Nafeel the vibe inhale inhale kusip and dine

Kurise kufloat adi cloud ya nine

But chunga ukifall usibreak your spine

Mvumulivu hula mbivu

Mvutaji hupunguza maumivu

Fuck! nakumbuka nikipoteza simu na pia vile nafallianga walimu

Trust me

Huh

Hiyo si random if you don't get it forget about it

Tuko ploti moja na landlord

So ukimedi medi na mbali

So what am i trying to say

Nothing's free there's always a price to pay

You'll pay the fee ata kama unaona haufiki bei

but si ni life

Kama unaona uko sawa me niko sawa si wote tuko sawa

Lakini

Utachizi overthinking nini mbona life ni shitty

Utableki overdrinking kijichocha life ni fiti

Utadedi uko ndani asha mali feel uhigh

Utadedi uko ndani izi mali zikidie

Utachizi overthinking nini mbona life ni shitty

Utableki overdrinking kijichocha life ni fiti

Utadedi uko ndani asha mali feel uhigh

Utadedi uko ndani izi mali zikidie

未经允许不得转载 » 本文链接:http://www.benxiaoben.com/ef36aVVA9BQxSWwcAAA.html

相关推荐

  • 如果这都不算爱 (cover: 张学友)歌词-点点

    如果这都不算爱 (cover: 张学友)歌词-点点

    如果这都不算爱 (cover: 张学友)歌词由点点演唱,出自专辑《梦》,下面是《如果这都不算爱 (cover: 张学友)》完整版歌词! 如果这都不算爱 (cover: 张学友)歌词完...

  • 纸条上的秘密 (Live)歌词-杜林峰

    纸条上的秘密 (Live)歌词-杜林峰

    纸条上的秘密 (Live)歌词由杜林峰演唱,出自专辑《纸条上的秘密》,下面是《纸条上的秘密 (Live)》完整版歌词! 纸条上的秘密 (Live)歌词完整版 每一个课间写在纸...

  • 纸条上的秘密 (伴奏)歌词-杜林峰

    纸条上的秘密 (伴奏)歌词-杜林峰

    纸条上的秘密 (伴奏)歌词由杜林峰演唱,出自专辑《纸条上的秘密》,下面是《纸条上的秘密 (伴奏)》完整版歌词! 纸条上的秘密 (伴奏)歌词完整版 每一个课间写在纸...

  • 父母的酒歌词-许志刚

    父母的酒歌词-许志刚

    父母的酒歌词由许志刚演唱,出自专辑《父母的酒》,下面是《父母的酒》完整版歌词! 父母的酒歌词完整版 父母的酒 - 许志刚词:戴才掌曲:欧阳雄波编曲:欧阳雄波...