Nerea歌词由Sauti Sol&AMOS演唱,出自专辑《Nerea》,下面是《Nerea》完整版歌词!
Nerea歌词完整版
Nerea - Sauti Sol/Amos
Written by:RR
Nakuomba nerea usitoe mimba yangu we
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake
Mlete nitamlea usitoe mimba yangu we
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake
Huenda akawa obama atawale amerika
Huenda akawa lupita oscar nazo akashinda
Huenda akawa wanyama acheze soka uingereza
Huenda akawa kenyatta mwanzilishi wa taifa
Nakuomba nerea usitoe mimba yangu we
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake
Mlete aitamlea usitoe mimba yangu we
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake
Huenda akawa maathai ayalinde mazingira
Huenda akawa makeba nyimbo nzuri akatunga
Huenda akawa nyerere aongoze tanzania
Huenda akawa mandela mkombozi wa taifa
Nakuomba nerea usitoe mimba yangu we
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake
Mlete aitamlea usitoe mimba yangu we
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake
Nakuomba nerea nerea nerea
Usitoe mimba yangu
Nerea nerea nerea
Usitoe mimba uangu
Huenda akawa kagameatawale
Jaramogi odingatuungane
Huenda akawa tom mboya
Huenda akawa rudisha
Huenda akawa malaika mungu ametupatia
Huenda akawa sauti sol
Huenda akawa amos josh
Huenda akawa
Huenda akawa malaika mungu ametupatia