Salima歌词由Fredrick Mulla&Umoja Sounds演唱,出自专辑《Salima》,下面是《Salima》完整版歌词!
Salima歌词完整版
Sali kwenu nitatimba kuleta barua
Pambe wote watajua
Ambia mabeshte zako waandae vijora
Shangwe linakaribia
Sali kwenu nitatimba kuleta barua
Pambe wote watajua
Ambia mapeng wenzako waandae vijora
Shangwe linakaribia
Kwa maana midadi unanipa
We Salima nakulombotove
Mchele ushamwagika
We Salima nakulombotove
Salima Salima, pisi kali Salima
Naja na mbogi kwenye mchuma nisepe na wewe Salima
Wanakuchora sana Salima eti wanakuita tukinao
Wanatusorora sijali hata kidogo hizo ni chuki zao
Wanasema unanidanga acha unidange ni mimi si wao
Wanatusorora sana sijali hata kidogo ni chuki zao
Kwa maana midadi unanipa
We Salima nakulombotove
Mchele ushamwagika
We Salima nakulombotove
Salima Salima, pisi kali Salima
Naja na mbogi kwenye mchuma nisepe na wewe Salima