Sielewi歌词由Ibraah演唱,出自专辑《Africa》,下面是《Sielewi》完整版歌词!
Sielewi歌词完整版
Mmmh
Mmmmh
Yeah haki sina
Amini sinaga kauli ukintazama
mwili wanizizima omama
yeah
mana leo wakinipima
watakuta ugonjwa ni wewe ndo unaenipa homa
mh baby girl
Hivi nivipi? umewezaje kuziteka hisia zangu
na nivipi imekuaje
umetawala fikra zangu
Hivi ni vipi?
umewezaje kuziteka hisia zangu
mpaka nahisi bila wewe mi siwezi peke yangu
kama Nimerogwa
nimerogwa
Kama nimerogwa
Nimerogwa
Kama nimerogwa
unanikoleza
Nimerogwa
yani nimezama
Nimerogwa
najiamia mama
Nimerogwa
minyaan
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
aah
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
hello
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
huh
sielewi sielewi sielewi sielewi sielewi sielewi sielewi
ah Sielewii
Maana uko nyuma kama umebeba na la jirani wewe
sielewi
sasa nisipo kupenda wewe ntampenda nani
aah Sielewi
We ndo unafanya najihisi sina akili kichwani
sielewi
mafuta ya kupikia nayakutaga mezani
mama utamu kunoga
unanipitisha boda
ya mwanza hadi bukoba
yaani! ahh
nahisi amama
raha unaga uoga
nakula mpishi adi mboga
nakufa kama mzoga
yaan ah!
Naisha
Kama nimerogwa
nimerogwa
Kama nimerogwa
nimerogwa
kama nimerogwa
unanikoleza mama
nimerogwa
yaani nimezama
nimerogwa
najihamia ma
nimerogwa
mi yaani ah
baby oh
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
ah ah
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
an oh
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
uh
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sielewi
sieleewi
aniti baby ananita bibi
nabado
ananikisi mi
nabado
nimekubali ye ndo saizi
yeh yeh yeh i (na bado)
yeh
bila ye sipati usingizi(na bado)
wapi nitasoma na kudalizi(na bado)
yeeye ndo saiz yeh yeh i (na bado)