笨鸟先飞
我们一直在努力
2025-01-23 20:46 | 星期四

Bestie歌词-Kagwe Mungai&Collo

Bestie歌词由Kagwe Mungai&Collo演唱,出自专辑《Rada》,下面是《Bestie》完整版歌词!

Bestie歌词

Bestie歌词完整版

(Ahh leo nakwambia, ili upatekujuwa yaliyo moyoni mwangu)Kagwe Mungai

Hey Bestie

Leo nakwambia

Eh nakupenda bestie nakupenda bestie (na na na na na)Hey Bestie

Leo nakwambia

Eh nakupenda bestie nakupenda bestie

You’re more than best friend (You’re more than best friend)You’re the love of my life (You’re the love of my life)

Na siwezi ku pretend

Lazima utakuwa my wife (Lazima utakuwa)

Siwezi kukaa kimya tena

Niki kupea advise (Niki kupea advise)

Baby I can love you better

And you I got spice (you know I got spice)

CosI’minlalalalalove lalalalalove lalalalalalalovewithyou Hey Bestie

Nampenda penda nani

My Bestie nakupenda kwa umbali, nakutamani Nampenda penda nani

My Bestie Nakupenda kwa umbali, tangu zamani

Hey Bestie Eh naku

eh nakupenda bestie nakupenda bestie

Eh eh nakupenda bestie nakupenda bestie (la la la la la la love with you)

(na na na na na)nakupenda bestie nakupenda bestie

eh nakupenda best

(Si unajua, I got you feeling like the first love...Collo)Toka zama zakale

Tumetoana mbali

basi si tushikane

Ndio tuziponde mali

Wacha ijulikane

Wakiuliza swali (wanauliza)

Bado we ni kisu kikali

Lover of my life (Lover of my life)

Come bas nikuskize (kuskize)

Be my wife (Be my wife)

Si lazima uulize

Toa kutu kistar (Toa Kutu)

Kulu mbuku piga luku ungae (Piga piga)Pahali tumetoka ni far (Ni far)

Si karibu mi nashuku ni mbali (shuku shuku)

Toa kutu kistar (Toa Kutu)

Kulu mbuku piga luku ungae (Piga piga)Pahali tumetoka ni far (Ni far)

Hey Bestie, Unanifaa

Nampenda penda nani

My Bestie nakupenda kwa umbali, nakutamani Nampenda penda nani

My Bestie Nakupenda kwa umbali, tangu zamani

Hey Bestie Eh naku

eh nakupenda bestie nakupenda bestie

Eh eh nakupenda bestie nakupenda bestie (la la la la la la love with you)

(na na na na na)nakupenda bestie nakupenda bestie

eh nakupenda best (la la la la la la love with you)

Nampenda penda nani

My Bestie nakupenda kwa umbali, nakutamani Nampenda penda nani

My Bestie Nakupenda kwa umbali, tangu zamani Hey Bestie

未经允许不得转载 » 本文链接:http://www.benxiaoben.com/ef47fVVA9BQtUUgUECA.html

相关推荐

  • 肉眼凡胎歌词-刘亦辰

    肉眼凡胎歌词-刘亦辰

    肉眼凡胎歌词由刘亦辰演唱,出自专辑《肉眼凡胎》,下面是《肉眼凡胎》完整版歌词! 肉眼凡胎歌词完整版 肉眼凡胎作词:师立宅作曲:旺仔演唱:刘奕辰发行:刘奕...

  • My Life (Cantonese Version)歌词-Isisip

    My Life (Cantonese Version)歌词-Isisip

    My Life (Cantonese Version)歌词由Isisip演唱,出自专辑《Morning star》,下面是《My Life (Cantonese Version)》完整版歌词! My Life (Cantonese Version)歌...

  • 八月の青い空歌词-HARUKA

    八月の青い空歌词-HARUKA

    八月の青い空歌词由HARUKA演唱,出自专辑《八月の青い空》,下面是《八月の青い空》完整版歌词! 八月の青い空歌词完整版 故郷の街を消した あの紅い原爆(ひ)は...

  • HAWAII (Feat. VENZA, potato shaped sheep)歌词-nightfall&VENZA&potato shaped sheep

    HAWAII (Feat. VENZA, potato shaped sheep)歌词-nightfall&VENZA&potato shaped sheep

    HAWAII (Feat. VENZA, potato shaped sheep)歌词由nightfall&VENZA&potato shaped sheep演唱,出自专辑《Earl Grey》,下面是《HAWAII (Feat. VENZA, potato s...