Breaking News (UFO)歌词由XLVI K演唱,出自专辑《Breaking News (UFO)》,下面是《Breaking News (UFO)》完整版歌词!
Breaking News (UFO)歌词完整版
Breaking news kuna UFO
Vile naifanya sio ka bafore
Bado wako stuck kwa ski na genre
Me kwa neno nacusnafo
focus, focus
Bado wako stuck kwa ski na genre
Me kwa neno nacusnafo
Nliingia bila kubisha, na nawapea bila kuitisha,
Sai ni back to back to back ona moto waliwakisha
bado wako stuck kwa ski na genre,
hii side bado neno inasonga
cheki mziki inakanashi, kazi ya msalaba naiganapi
Flow inaswuch ata kabla ugitch
light kwa giza, nafinya switch
light kwa giza, nafinya switch
word kwa mziki ufinya play Nawafeed word na word play,
Spirit led niko outo pilot, kwa hii mziki me ni puppet
God ndio puppeteer, simind vitu napitia
Shacles zilivinjwaa thats djingle unchained
Na Through his pain ndio life yangu changed
Niko roho juu juu deni yote ilikuwa paid
Yote kwisha kwishaaa thats what he sad
Breaking news kuna UFO
Vile naifanya sio ka bafore
Bado wako stuck kwa ski na genre
Me kwa neno nacusnafo
focus, focus
Bado wako stuck kwa ski na genre
Me kwa neno nacusnafo
Glory kwa G O D Vila na K O beat
Me tu ni pedi wa hii gospel God ndio anarun these streets
So ata wafunge gate za nyumba bado tunazoza kwa hizi streets
Na ka unapenda word ya God leo uko in for a treat
Na unanionanga kwa mbulu, bila shaka me si mzulu
Na na come na title ka geng ya Kamulu
Lion kwa jungle, simba wa yuda
Death alihandle, hii ni ushuhuda
Zion ndio home, hapa earth ni kwa Muda
Love so big alipenda hadi judas
Neeeno litasimama, neeno litasimama
Ya ulimwengu yatapita lakini nenoo litasimama
Breaking news kuna UFO
Vile naifanya sio ka bafore
Bado wako stuck kwa ski na genre
Me kwa neno nacusnafo
focus, focus
Bado wako stuck kwa ski na genre
Me kwa neno nacusnafo