Away歌词由Umoja Sounds&Fredrick Mulla&Mbithi演唱,出自专辑《Umoja Sounds Presents Flava》,下面是《Away》完整版歌词!
Away歌词完整版
Mulla
Baba nilindepo mimi sijui nani enemy
Kwako napiga goti uwawake away from me
Away away away from me
Mbithi
Sir listen
Binadamu ni wa kustaajabisha
Bila Sababu wanataka katiza
Maisha wanitoe kabisa
Nikiwa na wewe nika Niko na visa.
kilomita
napiga hatua bado wananiwinda
Wanataka nichafua ila unanilinda
Wanakutambua ila wanakulenga
Wanajua ukinishika hakuna kile watatenda
Vile unanipenda nipenda
Hivi nimesimama we ndio umenijenga
Kwako siwezi hepa hepa
My father my healer my helper
Mbithi
Ulisema tukiomba tutapewa
nifungulie unitoe kwa shimo la tewa
Ukibisha kwa imani utapewa
Ukitishwa ukiwa na imani bado utatetewa
Only jah can judge, bless and curse a man
We ni nani kunisema sina thamani
Na serve master ananiserve na master plan
Mimi na wewe kwake ni macustomer
Vile unanipenda nipenda
Hivi nimesimama we ndio umenijenga
Kwako siwezi hepa hepa
My father my healer my helper
Mulla
Baba nilindepo mimi sijui nani enemy
Kwako napiga goti uwawake away from me
Away away away from me