Caro歌词由Masauti演唱,出自专辑《This Is Me》,下面是《Caro》完整版歌词!
Caro歌词完整版
imenikolea penzi lako i love u My dear
Umekamilika we mtoto nakupa mia mia
Unanipa mahaba ya moto moyo unaridhia
Unavyonipiga mabusu mwenzako mpk nashangilia
Na sitochoka kukwambia
Chorus.
I love love I love you caro
Ur my love ur my love caro
Coralina Carolina x4
Vas1
Carolina penzi kama ulipakapaka hinaa
Kwa majina ukiniita moyo wangu unazizima
We kichuna uzuri wako mfano we hauna
Navyokupenda wallai kama wewe sijaona
Mashallah napenda zako dimpo dimpo ukicheka
Unavyongaa huna ata pimple pimple kisura
Hewala hakukosea mola akikuumba
We carolina we carolina mamaaa carooo
Chorus 2
Nina moyo wa kike Nikipenda mi sinaga uongo
Mazima nimezama kama jembe Na mpingo
Napata sikitiko nnapokukosa kidogo
Oh mama coz I love you caro caro
Enuka leo tutalicheza rumba mdogo mdogo
Tukiswing na muziki bomba mambo yakileo X2
Chorus 3
Bridge
Caro
Caro
Caro carolina mmmh i love you caroo x2