笨鸟先飞
我们一直在努力
2025-01-11 14:50 | 星期六

Nimepona歌词-Ibraah

Nimepona歌词由Ibraah演唱,出自专辑《Nimepona》,下面是《Nimepona》完整版歌词!

Nimepona歌词

Nimepona歌词完整版

Weweee eenh eiii

Ooouuhh

It's Dady again

Macho yangu yanatamani kukuona

Ila moyo umegomaa

Umecheza na hisia zangu

Kumbe si fungu nilichagua koroma aahh

Mi nashangaa macho yanatamani kukuona

Ingali mabaya yalishuhudia

Na kidogo nilichokua nacho ndo kilifanya ukanikimbia

Yani kama nilichomwa na mwiba maa

Maumivu yakanipa shida naa

Si ungesema kama umeshiba mapenzi yangu mapenzi yangu weeh

Mana uliyoyafanya sio yakawaida maa

Je ungeniua na cha roho kijiba naaa

Nikajikokota uku nikimuomba mungu wangu kutwa aniponyee

Sio kwa ubayaaa

Nimejiuguza na nimepona

Mmh wewe

Nimejiuguza na nimepona

Mi mzima wa afya

Nimejiuguza na nimepona

Yanilitesa ila sijafaa

Nimejiuguza na nimeponaa

Uuh yeeeeh uuuuuh!

Wenda uliwish nipitie mabaya

Moyo wako si umejenga chuki sawa(sawa)

Changu kidege umeota mbawa

Haujaniuza bure bure umenigawa

Nenda utapata anaekupenda wenda utampеnda babe haayaa

Mi kosa langu kukupenda ukaniona mwana kwenda haaayaaaa

Nilivyoongеza upendo mabaya ulifanya dhahiri kwa vitendo

Kumbe ziro malengo kwangu ulifollow tendo

Zile baby baby we kumbe ulinizuga tu baby

Yani kama nilichomwa na mwiba maa

Maumivu yakanipa shida naa

Siungesema kama umeshiba mapenzi yangu mapenzi yangu wee

Maana uliyoyafanya sio yakawaida maa

Je ungeniua na cha roho kijiba naa

Nikajikokota huku nikimuomba mungu wangu kutwa aniponyee

Sio kwa ubayaaa aah yaah yaah

Nimejiuguza na nimepona

Nimepona nimepona eeh

Nimejiuguza na nimepona

Mi mzima wa afya

Nimejiuguza na nimepona

Yanilitesa ila sijafaa

Nimejiuguza na nimeponaa

Aaaaah nimeponaaa

Aaah Chinga,Konde Music World Wide Yeah

Ooohh lalah oohh lalah nimeponaa aahh

It's Dady again

未经允许不得转载 » 本文链接:http://www.benxiaoben.com/ef562VVA9AAFVVAQH.html

相关推荐

  • Rara歌词-Ibraah

    Rara歌词-Ibraah

    Rara歌词由Ibraah演唱,出自专辑《Bado》,下面是《Rara》完整版歌词! Rara歌词完整版 Aaaahh chingaaAti my sinyorita kisura wangeNilikuonaga tu unapita il...

  • Jipinde歌词-Ibraah

    Jipinde歌词-Ibraah

    Jipinde歌词由Ibraah演唱,出自专辑《Bado》,下面是《Jipinde》完整版歌词! Jipinde歌词完整版 Ye aah chinga aaahMoja nikusifie we kama katuni mwendo haun...

  • Mapenzi歌词-Ibraah

    Mapenzi歌词-Ibraah

    Mapenzi歌词由Ibraah演唱,出自专辑《Bado》,下面是《Mapenzi》完整版歌词! Mapenzi歌词完整版 No aah, aah (Mr. Saimon)Aya aah aah eeh eh ehAmini unaempen...

  • Do Lemi Go歌词-Ibraah

    Do Lemi Go歌词-Ibraah

    Do Lemi Go歌词由Ibraah演唱,出自专辑《Bado》,下面是《Do Lemi Go》完整版歌词! Do Lemi Go歌词完整版 Ati don't let me goIf you my baby you love me fore...

  • Open The Door歌词-Otis Redding

    Open The Door歌词-Otis Redding

    Open The Door歌词由Otis Redding演唱,出自专辑《Falling Star》,下面是《Open The Door》完整版歌词! Open The Door歌词完整版 I've been so wrong so many ...

  • 拼什么 (cover: 罗志祥) (Demo)歌词-刘墨林

    拼什么 (cover: 罗志祥) (Demo)歌词-刘墨林

    拼什么 (cover: 罗志祥) (Demo)歌词由刘墨林演唱,出自专辑《青葱碎片》,下面是《拼什么 (cover: 罗志祥) (Demo)》完整版歌词! 拼什么 (cover: 罗志祥) (Demo)...

  • 答应我 (cover: 周品)歌词-蓝雨

    答应我 (cover: 周品)歌词-蓝雨

    答应我 (cover: 周品)歌词由蓝雨演唱,出自专辑《答应》,下面是《答应我 (cover: 周品)》完整版歌词! 答应我 (cover: 周品)歌词完整版 演唱:周品作词:周品作...

  • Musetto歌词-Quartetto Cetra

    Musetto歌词-Quartetto Cetra

    Musetto歌词由Quartetto Cetra演唱,出自专辑《Retrospective, vol. 2》,下面是《Musetto》完整版歌词! Musetto歌词完整版 锘La pi霉 bella sei tu uil tuo n...