Pombe Isiwe Tamu歌词由Nviiri The Storyteller演唱,出自专辑《Inside Out (Explicit)》,下面是《Pombe Isiwe Tamu》完整版歌词!
Pombe Isiwe Tamu歌词完整版
Pombe isiwe tamu Kush India ile pesa inanunua
Usingizi isiwe tamu atakama kuna mvua
Leo wakikuinia kesho watakupundua
Pombe isiwe tamu kushinda ile pesa inanunua
Ukiwa frontline jua unaweza umia
But hapo ndio kuna njia
That’s For those who do not fear
The sun will rise and the sun will set
Isikupata kama hujajiseti
Ongeza noti kwa kibeti
Ikikwama iforce
Usikubali loss
Only jah knows
Don’t just do it because
You should die for the cause
Only jah jah knows
Pombe isiwe tamu Kush India ile pesa inanunua
Usingizi isiwe tamu atakama kuna mvua
Leo wakikuinia kesho watakupundua
Pombe isiwe tamu kushinda ile pesa inanunua
Pesa weee
Vers 2
Money on my mind I got love for you
Always on my mind but where are you
Trying to catch a flight looking so fly
Hoping to land on you
Usiwai tegemea binadam, ukitaka kula life na adabu
Machozi jasho ongeza na damu
Abracadabra Wachira filamu
Ikikwama iforce
Usikubali loss
Only jah knows
Don’t just do it because
You should die for the cause
Only jah jah knows
Pombe isiwe tamu Kush India ile pesa inanunua
Usingizi isiwe tamu atakama kuna mvua
Leo wakikuinia kesho watakupundua
Pombe isiwe tamu kushinda ile pesa inanunua