Afadhali Yesu歌词由Goodluck Gozbert&Guardian Angel演唱,出自专辑《Kampeni》,下面是《Afadhali Yesu》完整版歌词!
Afadhali Yesu歌词完整版
Nikiwa Kwa Matendo ya Mwili Ulinipenda Hukunitupa
Nimekukosea Mara Nyingi ukanipenda Na Msamaha
Na bado nakushangaa
Hujanichoka Hujanichoka
Nikitazama Kwenye List mimi Sikudhani Ungenisamehe
Sikuwa Na Faida Eeh, na Dunia Ilinikataa
Pengine Wangeshanizika Ila Ukaniacha Nisimulie Wema Wako Wewe.
Chorus
Afadhali Wewe tu, Afadhali Yesu
Afadhali Wewe Tu, Afadhali Yesu
Verse 2 (Guardian)
Wema Wako na Upole Wako Unaniahangaza
Umenipa Fursa na udhaifu wangu Ukanitakasa
Unaniskia Nikikulilia, Badilisha Nia Sasa Nakutumikia na Nikipotea Unanionesha Njia
Nakuwa Msumbufu Ila Unanivumilia We Baba We,
Kama Ingekuwa binadamu angeubeba Msalaba angeutupa Chini tujitegemee
Mzigo wetu Tujibebee, Tujibebee Eeeh Eeeh Ioi Yeeeh
Chorus
Afadhali Wewe Tu, Afadhali Yesu
Afadhali Wewe Tu, Afadhali Yesu
Hook
(Guardian) Nikiwa Kwa Matendo Ya Mwili Ulinipenda Hukunitupa
(Goodluck) Yesu Nimekukosea Mara Nyingi Ukanipenda na Msamaha
Afadhali Wewe Tu, Afadhali Yesu