Pe$a歌词由Fredrick Mulla&Umoja Sounds演唱,出自专辑《Master Manondo》,下面是《Pe$a》完整版歌词!
Pe$a歌词完整版
Intro
(Pesa!)
Ladies and gentlemen
Introducing Fredrick Mulla A.K.A Master Manondo
Up in this Nairobi streets coming your way oh yeah!
Umoja Sounds
Bring the noise!
Mulla
Asanteni asanteni
Asante sana I see you I see you
Nashukuru sana
Thank you, thank you thank you
Verse 1
Yeah, look!
Ukimuhitaji Mulla, Dache, mkwanja, dough, uchumi
Pesa ni sabuni na hauwezi run town bila mbuni
If you don't know
Nimechagua Plata sio Plomo (pesa!) na kuplan more
Hii city iko busy
Kila kiti moto kukaa kwa hii seat is not easy son
Kama hauna dili yoh the only way ya kudaka hiyo first million (pesa!) ni plan
Too legit sina kidii yoh gun
Navyo finesse material run
Kenyan money to Tz money bro that's a lot of millions (pesa!)
Anapotoka Mbaraka Mwinshehe ndio nyumbani
Enzi zake alikuja Nairobi saka money (pesa!)
Kama noma na iwe noma noma kaka man
So tukikutana tao just know
Chorus
Nairobi inataka pesa weh (pesa!)
Nairobi inataka pesa(pesa!)
Nairobi inataka pesa weh (pesa!)
Nairobi inataka pesa (pesa!)
Verse 2
Yeah yo!
Experience ni expensive
Unahitaji experience kuexplain this
Nawajua watu wenye experience miaka kumi kwenye game
Sikuhizi wanaquote Bible verses masna experience never changed
Walikata tamaa mmmh mmmh mmmh
Si bora wangekomaa mmmh mmmh mmmh
Who knows anipe majibu nataka kujua nisije nikauvagaa mmmh mmmh mmmh
Nataka bungalows (bungalows!)
Yatch Club ni mimi tu nizipange boats
I know kuna costs of being a boss
But wait! Ni pesa ngapi hiyo Coast ina cost?
Anapotoka Mbaraka Mwinshehe ndio nyumbani
Enzi zake alikuja Nairobi saka money
Kama noma na iwe noma noma kaka man
So tukikutana tao just know
Chorus
Nairobi inataka pesa weh (pesa!)
Nairobi inataka pesa(pesa!)
Nairobi inataka pesa weh (pesa!)
Nairobi inataka pesa (pesa!)
Ukitaka mandondo(pesa!)
Ukitaka chapoo (pesa!)
Ukitaka mvinyo (pesa!)
Lazima ukuwe na dough (pesa!)
Ukitaka chapati (pesa!) eeh eeh na dough (pesa!)
Lazima ukuwe na pesa (pesa!), pesa mingi sana (pesa!)
Haijalishi haijalishi (pesa!)
Haijalishi hailjalishi (pesa!)
Ukitaka kila kitu ya kununua uwe na dough (pesa!)