Haniachi歌词由Angel Laizer演唱,出自专辑《Haniachi》,下面是《Haniachi》完整版歌词!
Haniachi歌词完整版
It's Wulan
Huniachi nizame
Huniachi mpweke
Miaka nenda miaka rudi
Bado upo
Jua likizama
Bado upo
Hunijazi maneno ya uongo
Hunipi ahadi za uongo oh
Yeah
Wanadamu watakuacha siku moja
Siku moja tu
Ila hata watu wote waniache
Mimi sipo mwenyewe
Ninae yule mmoja wapekee
Yupo nami milele
Nina uhakika
Haniachi Yesu
Haniachi Yesu
Nina uhakika
Haniachi Yesu
Haniachi Yesu
Nina uhakika
Haniachi Yesu
Haniachi Yesu
Nina uhakika
Haniachi Yesu
Haniachi Yesu
Haniachi yeah
Unajua marafiki
Waliahidi
Kubaki na mimi
Ila sikudhani
Ni ahadi
Na ahadi za wanadamu hazitimii
Wewe wewe
Hukubali nibaki mpweke
Hukubali nizame mwenyewe
Hukubali nilemewe
Yeah
Wanadamu waliniacha siku moja
Siku moja tu
Ila hata watu wote waniache
Mimi sipo mwenyewe
Ninae yule mmoja wapekee
Yupo nami milele
Nina uhakika
Haniachi Yesu
Haniachi Yesu
Nina uhakika
Haniachi Yesu
Haniachi Yesu
Nina uhakika
Haniachi Yesu
Haniachi Yesu
Nina uhakika
Haniachi Yesu
Haniachi Yesu
Mimi na Yesu
Forever
Ey mi na Yesu
Forever
Mimi na Yesu
Forever
Mi na Yesu
Forever