Naskia Raha歌词由Desito演唱,出自专辑《Naskia Raha》,下面是《Naskia Raha》完整版歌词!
Naskia Raha歌词完整版
Eh Desito ooh sema nanana .......
Naskia raha ndani ya roho ya roho... ooh
Naskia Raha aah ndani roho..
Naskia Raha naskia
Naskia Raha naskia
Naskia Raha naskia
Naskia Raha naskia
Weh kwani mmechoka aaah aah
Kwani mmechoka aaah aah
Ni kadance hamjui tunajua tunajua
Ni kucheza hamjui tunajua tunajua..
Hii feeling huwanga very baaad ikikubamba unakatika hehe
Huwanga very baaad huku kwa YESU tunabambika hehe
Cheki,maisha yangu kwa yesu nasherekea
Ata Ka sijafika naelekea..
Mambo ma mazuri anatuletea..
Rada sio Rada tunamsifia.. ehe eh ehhh
Amenipa love,joy,peace,life and life in abundance
Amenipa love,joy,life and abundance...eeeh
Naskia raha ndani ya roho ya roho... ooh
Naskia Raha aah ndani roho..
Naskia Raha naskia
Naskia Raha naskia
Naskia Raha naskia
Naskia Raha naskia
Weh kwani mmechoka aaah aah
Kwani mmechoka aaah aah
Ni kadance hamjui tunajua tunajua
Ni kucheza hamjui tunajua tunajua..
Ni kama naskia kuimba aah ah uuh
Ni kama naskia kucheza aah ah uuh
Nikama naskia kucheza
Nikama naskia kuruka aah
Ati naskia kuruka kakaka...
Weh mikono juu
Weh shukuru juu
Weh msifu tuu
Ati weh weh wewewe..
Amenipa love,joy,peace,life and life in abundance
Amenipa love,joy,life and abundance...yeye yeyeeeh
Naskia Raha naskia
Naskia Raha naskia
Naskia Raha naskia
Naskia Raha naskia
Weh kwani mmechoka aaah aah
Kwani mmechoka aaah aah
Ni kadance hamjui tunajua tunajua
Ni kucheza hamjui tunajua tunajua..
Eh sema nanana eh eh
Naskia aah
Naskia Raha
Naskia Raha
Naskia Raha
Naskia rrrhh
Naskia rrh
Naskia rrh
Naskia Rarahaaaaa..