Romeo & Juliet (Explicit)歌词由Drimo Papi演唱,出自专辑《Bongo Pop Vol.1 (Explicit)》,下面是《Romeo & Juliet (Explicit)》完整版歌词!
Romeo & Juliet (Explicit)歌词完整版
Sifa nakumwagia
We mtoto
Umeumbwa ukaumbika we mrembo
Kizuri kipi kisichokufaa
We mtoto
Sura cheko kama malaika we mrembo (eeeh)
Ohh vile ukinizungushia kwa juu
Napagawa hoi nahemea juu juu
Kimoko unyonge nagonga two two
Oohh yeah
Na hii nyimbo baby naimba for you
Ushanichanganya i wanna marry you
Kila sehemu till i die with you
Ouuh me na we nii
Romeo & Juliet
Romeo & Juliet
Romeo & Juliet
Oouuh me na we niii
Romeo & Juliet
Romeo & Juliet
Romeo & Juliet
Mtoto mashallah kajaliwa
Mwendo wa kunyata ananyatia
Body lake kinanda
Pressure yashuka yapanda
Mtoto mashallah kajaliwa
Mwendo wa kunyata ananyatia
Body lake kinanda
Pressure yashuka yapanda ouuuhhh
Ukiwa mbali
Amani nakosa furaha
Nahisi uko chocho wananiibia
Wananiibiaa
Tukiwa chumbani kachiri viuno zaga
Napenda utamu ukichanganyia
Ohh vile ukinizungushia kwa juu
Napagawa hoi nahemea juu juu
Kimoko unyonge nagonga two two
Oohh yeah
Na hii nyimbo baby naimba for you
Ushanichanganya i wanna marry you
Kila sehemu till i die with you
Ouuh me na we nii
Romeo & Juliet
Romeo & Juliet
Romeo & Juliet
Oouuh me na we niii
Romeo & Juliet
Romeo & Juliet
Romeo & Juliet