Chizi歌词由XrisTia演唱,出自专辑《P.A.P.A (Explicit)》,下面是《Chizi》完整版歌词!
Chizi歌词完整版
Urembo wako
Wanivutia
Wewe tuu
Naangalia
Niwe na wewe
Minatarajia
Siwezi ngoja
Siwezi ngoja
Leo ni leo
Ni mi na we
Leo ni leo
Leo ni leo
Ni mi na we
Leo ni leo
Ni leo
Ni leo
Leo ni leo
Ni mi na we
Leo, leo, leo
Leo ni leo
Singoji another day
Leo ni leo
Ni mi na we
Leo, leo, leo
Leo ni leo
Na leo ni leo
Leo ni leo
Ni mi na we
Leo leo leo
Leo ni leo
Singoji another day
Leo ni leo
Ni mi na we
Leo, leo, leo
Leo ni leo
Na leo ni leo
Changu ni chako
Mpenzi basi njoo
Furaha unayonipa ndani ya roho
Ntahuzunika nikingoja kesho
Leo ni leo
Na leo ni leo
Leo ni leoooo
Raha unayonipa
Ulivyo
Uzuri wako
Yachangamsha roho
Na mi nasisitiza
Uwe wangu na mimi
Niwe wako
Basi leo ni leo
Sema kesho mi mwongo
Kuwa nawe ndiyo mpango
Nimetimiza ndoto
Milele
Nione tabasamu lako
Ushindi na raha
Nimefunga bao
Pamoja na wewe
Hadi mwisho
Tuvuke misitu na mito
Nikutunze na zote ninazo
Ninazohitaji
Zote
Nazipata kwako
Leo ni leo
Ni mi na we
Leo, leo, leo
Leo ni leo
Singoji another day
Leo ni leo
Ni mi na we
Leo, leo, leo
Leo ni leo
Na leo ni leo
Leo ni leo
Ni mi na we
Leo leo leo
Leo ni leo
Singoji another day
Leo ni leo
Ni mi na we
Leo, leo, leo
Leo ni leo
Na leo ni leo
Leo ni leoooo
Umeumbwa
Ukaumbika
Ulivyo hamna mwingine mfano
Namshukuru mungu
Kwakunipa
Malkia milele nishike mkono
Mwendo ni pole pole sina mbio
Vitu unayonipa sina neno
Na imeenda shule
Mapenzi moto moto
Sio tu maneno
Ntatenda vitendo
Leo ni leoooo
Basi leo ni leo
Sema kesho mi mwongo
Kuwa nawe ndiyo mpango
Nimetimiza ndoto
Milele
Nione tabasamu lako
Ushindi na raha
Nimefunga bao
Leo ni leo
Ni mi na we
Leo, leo, leo
Leo ni leo
Singoji another day
Leo ni leo
Ni mi na we
Leo, leo, leo
Leo ni leo
Na leo ni leo
Leo ni leo
Ni mi na we
Leo leo leo
Leo ni leo
Singoji another day
Leo ni leo
Ni mi na we
Leo, leo, leo
Leo ni leo
Na leo ni leo
Leo ni leo ahhhhhh
Changu ni chako
Mpenzi basi njoo
Furaha unayonipa ndani ya roho
Ntahuzunika nikingoja kesho
Leo ni leo
Na leo ni leo
Ntahuzunika
Nikingoja kesho
Leo ni leo
Na
Leo ni leo
Xristia