SITAKI (Live)歌词由Frida Amani演唱,出自专辑《This Is Me (Live)》,下面是《SITAKI (Live)》完整版歌词!
SITAKI (Live)歌词完整版
You know,
Naujua wanauliza why I am single
Well, this is the reason baby
CHORUS
Baby me, I don’t need love
I don’t need love, I don’t need love
No no no no
Baby me, I don’t need love
I don’t need love, I don’t need love
No no no no
VERSE.
First thing wanauliza hi inakuaje
Can i get your number nikutumie text saying aje
Next thing mnakuwa marafiki
Haipiti week unaanza feel vitu
Unataka mskia kila siku
Simu kama buku
Conversation iko lit haijalishi ka ni usiku
You fall in love
Unawaza umpe kila kitu we mpe kila kitu ndo utajua mapenzi sio wakwanza wapili hata watatu sio
Anatekufeel kuna foleni umepangwa ndio
You wish ka ungejua mwanzoni ungetoka mbio
But thats love you in love f**k no shit
Biggest mistake of your life
ulivomtizama machoni ukahisi mnaweza jenga life
kumbe mwenzao hakuoni
we unampenda, nae anampenda asiye mpenda
anateseka anakutesa kisa unampenda
mapenzi nini? Mapenzi wastage of time
unaweza tumika sana na usingizi wa dime
One thing i have known in this life mapenzi hayahutaji ujuaji in unaweza jitoa mpaka roho ini
This life kuna waliopenda na wakapendwa in this life
Then kuna sisi hata uguse vipi tupende vipi lazima tuyapitie sisi
CHORUS
Baby me, I don’t need love
I don’t need love, I don’t need love
No no no no
Baby me, I don’t need love
I don’t need love, I don’t need love
No no no no
Verse two
I sound ka nina maumivu its true me naumia
I wish ka ningejua mwanzo wallah ningekimbia
Nasikia vumilia i swear i did zaidi ya mara mia zaidi ya mara mia nilivumilia
Mengi mabaya nilifuta usiombe yakakuta
usiku utakesha utajuta utachukia kisha utataka futa
way alikufanya u feel first time ulipoanza kumuelewaa
Utatamani kulewaa
Na kaa una hasira sana utachukia na kuwaita wote mbwaa
Ila ndo mapenzi yalivoumbwa
Behind most smile kuna pain
And i’m tired of this love pain
Na sitosmile kuficha pain
ndo maana i’m not doing this shiit again
One thing i have known in this life
mapenzi hayahitaji ujuaji in this life
unaweza jitoa mpaka roho in this life
Kuna waliopenda wakapendwa in this life
Then kuna kina sisi hata tuguse vipi tupende vipi lazima tuyapitie sisi