Tension (Explicit)歌词由Isika演唱,出自专辑《Tension (Explicit)》,下面是《Tension (Explicit)》完整版歌词!
Tension (Explicit)歌词完整版
Lazima L ndio upate upate lesson
Bake sesh kwa studio session
Pale gram wananimention
But kwa streets wakona tension
Tension tension
Kwa streets wakona tension
Pale gram wananimention
But kwa streets wakona tension
Compe tumetoa kwa picha
Ni kama tumecrop
Hawa madem hukuanga salty
Reminds me of bibi ya lot
Southside coming wavy
Southside taking off
Broo unapimwa sana
Joo them draws ziudrop
Last night nilikuwa kwa hood
Rolling with my broski dice
Tutaivia choche hadi lini
Hope one day watalegalize
Them cops nawadespise
Hope one day watalegalize
Free the mandem free the guys
Usikuwe kwa fence broo pick a side
Lazima L ndio upate upate lesson
Bake sesh kwa studio session
Pale gram wananimention
But kwa streets wakona tension
Tension tension
Kwa streets wakona tension
Pale gram wananimention
But kwa streets wakona tension
Bar after bar
Kama sanse after curfew
Flow joh ni sick
Niko blessed na sija achu
Southside ni ya machamp
Na kuflop manzee ni taboo
Exes wanacall
But nimepanda value
Katikati ya field mctominay
She needs me like a horse needs hay
Tukiland kwa scene mayday mayday
No warning get ready and aim
Bad bih alipata tension tension
Juu kwa gram simmention
Tuna preacher jooh kwa mbogi
Dem yako humpea confessions
Usibonge cheese na rats
Usibonge bread na birds
Usimake moves na snakes
Usimake it real na fakes
Manze watch your six
And who you are rolling with
Manze watch your six
And who you are rolling with
Lazima L ndio upate upate lesson
Bake sesh kwa studio session
Pale gram wananimention
But kwa streets wakona tension
Tension tension
Kwa streets wakona tension
Pale gram wananimention
But kwa streets wakona tension
Lazima L ndio upate upate lesson
Bake sesh kwa studio session
Pale gram wananimention
But kwa streets wakona tension
Tension tension
Kwa streets wakona tension
Pale gram wananimention
But kwa streets wakona tension