Moyo Wami歌词由Nuh Mziwanda演唱,出自专辑《Moyo Wami》,下面是《Moyo Wami》完整版歌词!
Moyo Wami歌词完整版
WONDER: BABA UMENITENGENEZA 'UMENITOA MATATIZONI 'UMENIFANYA NIWE HURU UMOYO WAMI
TENA UMENIKUMBUSHA 'KUNA MABAYA NA MAZURI 'VYEMA KUFANYA MAZURI OOH OMOYO WAMI '
UKANITOA NA MAVUMBINI 'UKANIFANYA NIIMBE 'UMEUFANYA UWE HURU MOYO WANGU
MOYO WANGU NI DHAIFU 'MOYO WANGU NI HAFIFU 'MOYO WANGU NI KIZA KINENEE MOYO WAMI (UMOYOOOOOO)
CHORUS
UMOYO WAMI 'UMOYO WAMI' UMOYO WAMI' UMOYO WAMI' UUUUUMOYO WAMI' UMOYO WAMI'UMOYO WAMI' UMOYO WAMI'
WONDER: VERSE 2
NDUGU WAMENITENGA 'WE BADO UPO NA MIMI 'UMEFANYA NAJIAMINI MOYO WAMI '
SIWEZI KUKUKUFURU'SIWEZI KUKUDHARAU 'MANA NAJUA WE NI BABA MOYO WAMI
MOYO SIO MASHINE 'UKAWAUDHI WENGINE (MOYO) MMH MOYO WAMI
MOYO WANGU NI KILIO 'MOYO WANGU NI KICHAKA 'MOYO WANGU NI KIZA KINENE MOYO WANGU