Sinita Tenda Dhambi !!!歌词由John Ambuli演唱,出自专辑《Golden Tunes !!! Volume 7.0 (Explicit)》,下面是《Sinita Tenda Dhambi !!!》完整版歌词!
Sinita Tenda Dhambi !!!歌词完整版
Ananitaka mimi niseme Uwongo Ili yeye anufaike
Ananitaka nimsingizie mwenzangu ili yeye anufaike
Mwenzangu hana hatia yoyote
Mwenzangu hana fununu kwamba mwenzake anawazia mabaya
Kutenda dhambi sitaki
Kumsingizia mwenzangu sitaki
Ananitaka mimi nisimame mbele ya watu nikubali kwamba mwenzangu alitenda vile anavyo msingizia
Ukweli ni kwamba yeye mwenyewe ndiye ajuaye kiini cha mabo yale
Yeye Mwenyewe ndiye aliyeyatenda na yote yaliyomo sio halali
VIpi mimi ni husike katika dhambi
yeye mwenewe kayatenda mambo yale
Naepuka sinitashiriki katika dhambi
Mambo yake yote si halali
Naogopa sinto shiriki kamwe
Naeupuka mimi balaa hii