Utama Wa Mapenzi歌词由Omega Bugembe Okello演唱,出自专辑《Utama Wa Mapenzi》,下面是《Utama Wa Mapenzi》完整版歌词!
Utama Wa Mapenzi歌词完整版
Duniani
Kuna Huzumi Nyingi
Moyo Inavunjika Kila Siku
Hata Hivyo
Kuna Furaha Nyingi
Pa Napo Upendo Kuna Furaha
Machozi Yangu Unaya Punguza
Kicheko Hi Ki Usani
Mwangu Kinamanisha
Nti Maini Imerudi Moyoni
Eeeeeeeeeee
Moyoni Na Hisi
Nimekuzwa Na Malayika
Tazama Ndooto Zangu
Zimekuwa Kama Dhahabu
Maisha Yangu Sasa
Haina Tatizo Yoyote
Tena Sikujua
Mapenzi Yaweza Kuwa Hivi
Moyoni Na Hisi
Nimekuzwa Na Malayika
Tazama Ndooto Zangu
Zimekuwa Kama Dhahabu
Maisha Yangu Sasa
Haina Tatizo Yoyote
Tena Sikujua
Mapenzi Yaweza Kuwa Hivi
Na Mi Minashanga
Jinsi Unavyonipenda
We Mpenzi Wangu
Bwana Wangu
Tena
Unasimama Nami
Rakifiki Yangu Ambayo
Unaweza Kutegemeya
Unacho Ahidi Unafanya
Kukutana Nawe
Mpango Wa Mungu
Ali Nipa We Kama Zawadi
Eeeeeeeeeee
Moyoni Na Hisi
Nimekuzwa Na Malayika
Tazama Ndooto Zangu
Zimekuwa Kama Dhahabu
Maisha Yangu Sasa
Haina Tatizo Yoyote
Tena Sikujua
Mapenzi Yaweza Kuwa Hivi
Moyoni Na Hisi
Nimekuzwa Na Malayika
Tazama Ndooto Zangu
Zimekuwa Kama Dhahabu
Maisha Yangu Sasa
Haina Tatizo Yoyote
Tena Sikujua
Mapenzi Yaweza Kuwa Hivi
Tena Sikujua
Sikujua
Tena Sikujua Mapenzi
Yaweza Kuwa Hivi
Tena Sikujua
Sikujua
Tena Sikujua Mapenzi
Yaweza Kuwa Hivi
Tena Sikujua
Sikujua
Tena Sikujua Mapenzi
Yaweza Kuwa Hivi
Tena Sikujua
Sikujua
Tena Sikujua Mapenzi
Yaweza Kuwa Hivi