笨鸟先飞
我们一直在努力
2025-01-23 12:04 | 星期四

Street Girl歌词-Davno Clives

Street Girl歌词由Davno Clives演唱,出自专辑《Street Girl》,下面是《Street Girl》完整版歌词!

Street Girl歌词

Street Girl歌词完整版

(Miki records)

Ye, ni Davnooo uh ye ye ye eh (Deus made it)

Si shimo moja na si mbili

Ye anajirusha kwa wawili

Hatosheki

Huyu dame buda ako na wengi

Leo ako na landlord kesho jirani

Alafu baada ya siku mbili ananiita honey

Tumenotice yeye sidhani

Vile wanamuse adi hatumtaki

Hana ubaguzi atakama ni youngin

Bora uko fiti ama uko na mali

Atapita nawe vile alifanya Jacky

Bado anaprocess ii kitu ni funny

Street girl na si chokora

Street girl vile wanamchokora

Street girl na si chokora

Street girl vile wanamchokora

Street girl na si chokora

Street girl vile wanamchokora

Street giiiirl na si chokora

Street girl vile wanamchokora eh

Ni mara mingi anaconfuse maguy na haringi

Kwanza ukicheki hio thigh

Aki grab bana huezi deny

And now I understand it why she's giving

I was a victim back in the day

Kalia kiti nikupee yote

Ukimwona we usipote

Love yetu ilikua wonderful

Akanichocha nikamchorea tattoo

Akiskia njaa nazileta tu

Kipesa

Buda I was such a fool

Love yetu ilikua wonderful

Akanichocha nikamchorea tattoo

Akiskia njaa nazileta tu

Kipesa

Buda I was such a fool

Street girl na si chokora

Street girl vile wanamchokora

Street girl na si chokora

Street girl vile wanamchokora

Street girl na si chokora

Street girl vile wanamchokora

Street giiiirl na si chokora

Street girl vile wanamchokora eh

Nikaanza kunotice something is wrong

Nikijaribu kumshow anatoa kathong

What is wrong with this girl hanishow

Vitu mingi si zangu kama hii T-sho

Babe unareact mbona, unanidoubt

ni wewe tu na mimi hao wengine ni clout

Kumbe tuko wengi, ai joh

Mimi sipendi (ati adi bro)

Street girl na si chokora

Street girl vile wanamchokora

Street girl na si chokora

Street girl vile wanamchokora

Street girl na si chokora

Street girl vile wanamchokora

Street giiiirl na si chokora

Street girl vile wanamchokora eh

Na si chokora

Vile wanamchokora

Na si chokora

Vile wanamchokora

未经允许不得转载 » 本文链接:http://www.benxiaoben.com/ef82dVVA9BghSVwUADA.html

相关推荐