Utamu歌词由Ibraah演唱,出自专辑《Africa》,下面是《Utamu》完整版歌词!
Utamu歌词完整版
Ma le-le-le-le-le-leeeeh
Ma lo-lo-lo-lo-lo-looo-hhh
Mi naopoga kuwa kiben 10 Mamaa Kazi yangu ya mziki isije ikakwama
Utamu
Wewe Mama unataka utamu
Mimi sitakaki kukupa utamu
Wewe mama unataka utamu
Mimi sitakaki kukupa...
Eti utanihonga kitanda na godoro Uliskia mi nalala chini mama eeh
(Mama eeh)
Eti utanihonga nyumba kubwa
Kwetu uliskia nalala nje jamaa ehh
Eti utanipa kagari kadogo dogo
Za kugongea bado zimeisha
(Ma mama eeeh)
Utamu
Wewe mama unataka utamu
Mimi sitakaki kukupa utamu
Wewe mama unataka...
Nenda uka denge kidimbwe
Ukazambaze utamu
Utamu
Huo utamu
Eeh hapo changu kivirimbii
Na kimebeba utamu
Utamu
Huo utamu
Eeh mama Juma sawa na mama
Mi naogopa usije nipa vya utu
Uzima usiku nitaota
Wee sawa na mama mi naogopa
Usije nipa vya utu uzima...
Eeh kiroho safi sitaki kukupa utamu Mi sitaki wewe mama unataka utamu
Kiroho safi mi sitaki kukupa utamu
Mi sitaki mmmmmmh
Utamu
Eti usimuone Wema anaringa
Naye amabeba utamu
Utamu
Huo utamu
Eeh usimuone Mobeto anavimba
Naye amabeba utamu
Utamu
Huo utamu
Kajala usimuone anaringa
Naye amabeba utamu
Utamu
Huo utamu
Usimuone mama kibo mumbea
Naye amabeba utamu
Utamu
Huo utamu
Na basi nionyeshe mama
Nionjeshe mama,we nionyeshe Mama, nionyeshe chenye utamu
Nionjeshe tena,nionjeshe tena ma
Nionyeshe tena, nionjeshe...
Usimuone Gegi anaona ringa
Naye amabeba utamu
Utamu
Huo utamu
Usinione chinga analalama
Analilia utamu
Utamu
Huo utamu
Hata furani usimuone anadanga
Naye amabeba utamu
Utamu
Huo utamu
Usimuone Tito analia analilia Utamu
Utamu
Huo utamu
Kindly subscribe
Wee kidaruso mama tunacheza
Wee msamba
Mama tunacheza,kidaruso mama
Tunacheza, wee msamba
Mama tunacheza,wangu wa teneke (kidaruso) ee eh
(Kidaruso)
Uza mbagala(kidaruso)ee eh
(Kidaruso)watoto wa Loli
(Kidaruso)
Ee eh kidaruso) wanangu wote
Wafwasi(kidaruso)ee eh
(Kidaruso)
Ee aah aah aah aah