Ni Upendo歌词由Mathias Walichupa演唱,出自专辑《Ni Upendo》,下面是《Ni Upendo》完整版歌词!
Ni Upendo歌词完整版
Siri ya furaha yangu
Imo ndani ya pendo lako
Uthamani wa uo utu wangu
Umejengwa na pendo lako
Si rahisi kuyahesabu
Maana ni mengi haya mapenzi yako
Na nikiyatafakari iiiih
Naona nimependelewa na wee
Marangoni mwako Ninakushukuru
This love is beautiful
Love is beautiful
Kwa kelele za shangwe mi Ninakutukuza Bwana
Oooh utukuzwee Bwana
Kwa mengi umetenda naona
Ni upendo wako
Upendo wakoo
Ni upendo wako ooh Bwana
Upendo wako
Ni upendo wako
Upendo wakoo
Ni upendo wako ooh Bwana
Upendo wako
Ulitazamae kusudi lililofichwa Eeh
Kati ya mengi yangu madhaifu
Mungu mwaminifu wa nyakati zote
Oooh faraja ya kweli idumuyo
Nitaipaza sauti
Siku zote nikwimbiye
Kwa maana we ni mwema
Unaishi ndani yangu
Matendo yako ya ajabu
Fadhiri zako za milele
Sahibu wangu adonai Uhimidiwe
Marangoni mwako Ninakushukuru
This love is beautiful
Love is beautiful
Kwa kelele za shangwe mi Ninakutukuza Bwana
Oooh utukuzwee Bwana
Kwa mengi umetenda naona
Ni upendo wako
Upendo wakoo
Ni upendo wako ooh Bwana
Upendo wako
Ni upendo wako
Upendo wakoo
Ni upendo wako ooh Bwana
Upendo wako