Bwana Ninakuomba歌词由Ob & J Music演唱,出自专辑《Bwana Ninakuomba》,下面是《Bwana Ninakuomba》完整版歌词!
Bwana Ninakuomba歌词完整版
Bwana ninakuomba unipe nguvu maishani,
goliathi yuko njiani na jiwe mkononi mwangu,
unipe nguvu za kushinda hivi vita maishani mwangu
niwe, kama daudi
unipe nguvu mimi msalabani ulinifia , nasema asante
uniwezeshe mimi, kuzitii amri zako, milele
yale ninayotenda, mazuri hata na mabaya ,
wewe wayajua tangia mwanzo hadi mwisho
uniwezeshe kuziti amri zako takatifu Bwana
niwe kama Danieli.
utupe nguvu sisi msalabani ulitufia , nasema asante
uniwezeshe mimi, kuzitii amri zako, milele