Zakayo歌词由GOSPEL LIGHT TANZANIA演唱,出自专辑《Zakayo》,下面是《Zakayo》完整版歌词!
Zakayo歌词完整版
Ni kisa chake Zakayo
Mtu alokua mfupi
Alipanda juu ya mkuyu
Ili amwone Yesu
Ni kweli alihangaika
Kwa muda mrefu sana
Siku moja Zakayo
Kamuona Yesu
Shuka mtini Zakayo
Shuka mtini
Kwa maana woko
U nyumbani mwako
Shuka mtini Zakayo
Shuka mtini
Kwa maana woko
U nyumbani mwako
Wapendwa watu wengi wanachanganywa
Kwa anasa za dunia
Wamemsahahu Mungu wetu
Ambaye ndiye msaada
Mpendwa mkaribishe mwokozi
Ayabadili maisha yako
Kama Zakayo mtu mfupi
Alivyomkaribisha Yesu
Shuka mtini Zakayo
Shuka mtini
Kwa maana woko
U nyumbani mwako
Shuka mtini Zakayo
Shuka mtini
Kwa maana woko
U nyumbani mwako
Shuka mtini Zakayo
Shuka mtini
Kwa maana woko
U nyumbani mwako
Shuka mtini Zakayo
Shuka mtini
Kwa maana woko
U nyumbani mwako