笨鸟先飞
我们一直在努力
2025-01-11 14:51 | 星期六

Sitosema歌词-Ibraah

Sitosema歌词由Ibraah演唱,出自专辑《Africa》,下面是《Sitosema》完整版歌词!

Sitosema歌词

Sitosema歌词完整版

Kalunde Takatuka twende mwanda weeh aaah mwanda wee

Sekunde maana muda ndo umesonga wee aaah songa weeeh

Sema wande japo umeniona mushamba weee aaah mshamba wee

Muda sekunde Mungu Baba ndo amepanga weee aaah panga weeh

Huna huruma weeeh tena ulinicheat na vizeee aaah vikongwe aah ulikuwa busy aaah mama wewe na moyo weeeh mmmh

Nilivyokufuma weee ilinibidi tu kwa upole nikuulize

Niliogopa kukupiga nsikuumize aaah mama wee kwa upole weeh

Wala sikuringiaga ustar kukubeza eti mimi kukunyanyasa nilikutunza wala sikuwa tasa maana mimba yangu uliitoa

Masikini moyo wangu nshautakasa sina kinyongo nawe hata sasa maana nimefungua mpya kurasa ila sikufichi moyo umeutoboa

Yako ya ndani (sitosema mi sitosema) ata yale ya ndani (Sitosema mi sitosema) ata Siri za kitandani (sitosema mi sitosema) ata yale mabaya ( sitosema mi sitosema) sitosema na sisemi tena

Acha tu nikuite wandoto mama weee umeniacha na msoto ujue mida ya kula nakumbukaga vile nilivyokulisha ukanilisha

Na michezo ya chumbani mi deko mama weee ile michezo ya kitoto ujue bado mimi inansumbuaga kichwani mwangu haitokagi kabisa

Eeeh siwezi kung'ang'ania kimwana wakati moyo wako haunihitaji tena acha mi nijinyime ninywe nizime huenda kesho sitokumbuka tena

Mapema sikudhania kimwana kama bazoka utanimeza utantema acha nizingatie heshima nikupatie nenda salama sitokusumbua tena

Wala sikuringiaga ustar kukubeza eti mimi kukunyanyasa nilikutunza wala sikuwa tasa maana mimba yangu uliitoa

Masikini moyo wangu nshautakasa sina kinyongo nawe hata sasa maana nimefungua mpya kurasa ila sikufichi moyo umeutoboa

Yako ya ndani (sitosema mi sitosema) ata yale ya ndani (Sitosema mi sitosema) ata Siri za kitandani (sitosema mi sitosema) ata yale mabaya ( sitosema mi sitosema) sitosema na sisemi tena

Huna huruma weeeh tena ulinicheat na vizeee aaah vikongwe aah ulikuwa busy aaah mama wewe na moyo weeeh mmmh

未经允许不得转载 » 本文链接:http://www.benxiaoben.com/ef89aVVA9DgFbVgIA.html

相关推荐

  • Rara歌词-Ibraah

    Rara歌词-Ibraah

    Rara歌词由Ibraah演唱,出自专辑《Bado》,下面是《Rara》完整版歌词! Rara歌词完整版 Aaaahh chingaaAti my sinyorita kisura wangeNilikuonaga tu unapita il...

  • Jipinde歌词-Ibraah

    Jipinde歌词-Ibraah

    Jipinde歌词由Ibraah演唱,出自专辑《Bado》,下面是《Jipinde》完整版歌词! Jipinde歌词完整版 Ye aah chinga aaahMoja nikusifie we kama katuni mwendo haun...

  • Mapenzi歌词-Ibraah

    Mapenzi歌词-Ibraah

    Mapenzi歌词由Ibraah演唱,出自专辑《Bado》,下面是《Mapenzi》完整版歌词! Mapenzi歌词完整版 No aah, aah (Mr. Saimon)Aya aah aah eeh eh ehAmini unaempen...

  • Do Lemi Go歌词-Ibraah

    Do Lemi Go歌词-Ibraah

    Do Lemi Go歌词由Ibraah演唱,出自专辑《Bado》,下面是《Do Lemi Go》完整版歌词! Do Lemi Go歌词完整版 Ati don't let me goIf you my baby you love me fore...

  • Sielewi歌词-Ibraah

    Sielewi歌词-Ibraah

    Sielewi歌词由Ibraah演唱,出自专辑《Africa》,下面是《Sielewi》完整版歌词! Sielewi歌词完整版 MmmhMmmmhYeah haki sinaAmini sinaga kauli ukintazamamwili...

  • Usiku Mwema歌词-Ibraah

    Usiku Mwema歌词-Ibraah

    Usiku Mwema歌词由Ibraah演唱,出自专辑《Africa》,下面是《Usiku Mwema》完整版歌词! Usiku Mwema歌词完整版 Haijalishi tumegombana, muhimu tunapendanaSik...

  • Hapa歌词-Ibraah

    Hapa歌词-Ibraah

    Hapa歌词由Ibraah演唱,出自专辑《Africa》,下面是《Hapa》完整版歌词! Hapa歌词完整版 Kama hujaanza me nishaanza kwendaKama hunipendi me ninakupendaHuwa...

  • Shem歌词-Ibraah

    Shem歌词-Ibraah

    Shem歌词由Ibraah演唱,出自专辑《Africa》,下面是《Shem》完整版歌词! Shem歌词完整版 It's Chinga AgainOya Shem KanitongooKanitongozaa!Shem KanitongozaT...