Mapenzi歌词由MODI TZ演唱,出自专辑《Ala Za Upendo》,下面是《Mapenzi》完整版歌词!
Mapenzi歌词完整版
BLC
Nmefata mapenzi sikufata maudhi aah!
Kwako nimenasa
Kunavitu nataka aah!
Tena mwenzako fundi ninaujuzi
Kwako nimenasa wee, nimenasa wewe
Nataka nikupe kozii
Ning'ang'anie
Kwangu nitakufariji
We ni ng'ang'anie
Na Kuna mapenzi vikopakopa
Kwenye mapenzi mmh!.
Unaweza toka mmh na mpenzi wako mmh!
Kulia lia lia kutulia
Kulia lia lia kutulia
Kulia lia lia alia alia kutulia aah.
Aaya! ayaa! ayaaa!
Yamoto mmh!
Penzi la moto
Halafu anafujo katoto mmh! fujo katotoo
Yakoko, mihogo mitamu ya Koko
Tutoke tukale ya moto
Mishkaki mapochopocho ooh!
Hii Imani nimeiweka kwako sidhani kama nitapata
Nataka nikupe kozii
Ning'ang'anie
Kwangu nitakufariji
We ning'ang'anie eeh!
Kwenye mapenzi vikopakopa
Kwenye mapenzi mmh!
Unaweza toka mmh na wako mpenzi mmh!
Kulia lia lia lia kutulia
Kulia lia lia lia kutulia
Kulia lia alia alia kutulia
Kulia lia alia alia aaa
BLC